Namtafuta Hoyce Temu

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari wadau wa jukwaa hili

Nina shida ya kuonana na Hoyce Temu, ninahitaji kufahamu je kipindi chake cha Mimi na Tanzania kinaendelea?

Je ofisi zake ziko wapi? Naomba kuelekezwa au hata mwenye namba yake ya simu naomba anitumie inbox.

Wasalaam

CL
 
Google jina lake utapata wapi pa kuanzia
 
Kama una account insta mtafute DM(PM ya insta)utampata
 
niliwahi kumuona kawa balozi wa umoja mataifa UN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…