Nahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa. Yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofisi yake ilipo au the other means itakayokuwa rahisi kwangu.
Trust me its just for some medical issues and not otherwise.
Hello wanajamiiNahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa..yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofic yake ilipo au the other means itakayokuwa rahisi kwangu...trust me its just for some medical issues n not otherwisemubarikiwe
Jamaaa bongela handsome boy , usije dungwa tuu shauri yako. Huyu IsacK Interviews zake zinanibore sana anauliza maswali kwa mzaha sana , halafu ana vuta muda sana kwneda kwenye point, kiasi una choka kusikiliza anacho kiongelea.
Jamaa ananivutia sana ana kipaji zaidi ya udaktari anauliza maswali ya msingi na ya kiprofessional yule aliyekuwaga kabla yake ndo alikua ananikera vibaya mno hadi nikaanza kuchukia kipindi...but now i love it just becoz of dk isaack