nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
Nibhakugili imbele,soon itaomba niweke pichaUkiweza kupanua wigo wa maelezo, itasaidiana kwa haraka
Ushauri wangu,Panga siku uwende Dodoma,nauli yake kutoka Dar - Dodoma haizidi elfu 25,unaanzia kwenye branch yao Tanesco hapo mjini ndipo ilipo utaweza kupata msaada kwa haraka sana,na itakuwa ni vizuri zaidi ukaonana naeshemeji yako
Ingependeza kama ungepata jina la pili la mumewe Kulwa...Habarini,
Dada yangu huyu aliolewa kigoma na fundi umeme mtumishi wa tanesco kwa jina Kulwa na baadae walihamia Dodoma na hadi sasa wanaishi Dodoma.
Yoyote aliye na mawasiliano nae aniunganishe nae,plz!!
Kulwa.jina la mwanaume aliemuoa?
Kulwa.
[emoji23][emoji23][emoji16]Nibhakugili imbele,soon itaomba niweke picha
imbere kandi muta!!Nibhakugili imbele,soon itaomba niweke picha