Namtafuta dada yangu anaitwa Irene Nyamizi Faustine

Namtafuta dada yangu anaitwa Irene Nyamizi Faustine

Msambeta

New Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Namtafuta dada yangu anaitwa Irene Nyamizi Faustine... Mama yetu alikuwa anaitwa Tatu A. Mwenda alifariki tarehe 27/9/1991. Alizikwa kahama
 
Kwa vile wewe una ni mburundi ungeanzia kigoma kwanza I hope utampata
Namtafuta dada yangu anaitwa Irene Nyamizi Faustine... Mama yetu alikuwa anaitwa Tatu A. Mwenda alifariki tarehe 27/9/1991. Alizikwa kahama
 
Nakuombea umpata mkuu.

Ila:
Mara ya mwisho kuonana lini?

Ndugu yako kivipi?mmezaliwa baba mmoja?

Alikua anakaa mkoa gani?

Sasa ivi upo mkoa gani?

Ungeweka details kama hizo zingemsaidia na yeye pia kama yupo humu huenda angekukumbuka ingekua rahisi.
 
Kama yuko humu na ni wa mama mmoja ataelewa tu si kaeka jina la marehemu mama
 
Pole mkuu..Mwenyezi mungu muweza wa yote atawakutanisha inshaalahh
 
Back
Top Bottom