Namtafuta Beatrice Francis

Huwa anaenda kenya kuuza papuchi kipindi cha bunge la kenya.
 
Sio wivu hata maana mimi sio wa kwanza kwake. Imagine huyo beatrice ni dada yako, na unajua comments za watu humu nyingine za kijinga. Haina ustaarabu hata kidogo.
Hehehehehe


Basi msamehe mpenzi wako wa zamani
 
Kama huwa anapenda kwenda Kenya itabidi uende Kenya huko huko.
 
Tatizo litakuwa ni yeye kunianika mtandaoni kiasi hiki. Kuna namna ya kumpata mtu kirahizi zama hizi..
Sasa anakupataje hana namba yako kwny mitandao mnajiita majina ya kizungu
 
We jamaa achana na huyu MTU kwanza alishazeeka tafuta mpya!
 
Hii staili ya kutajana majina hapa siyo poa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…