sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,163
Kweli mkuu sinde karibu na lile bucha la kitimotoYuko manushi sinde anakunywa mbege
Nyuzi nyingine zina nia ya kuharibiana tu. Imagine mwenzio alishaolewa hlf mume wake apite hapa aone unamdiscuss jinsi mlivyokuwa wapenzi. Mambo mengine muwe mnafikiria kabla ya kupost.
Ndio, haileti picha nzuri. Bora angesema tu anamtafuta sio kuhusisha mapenzi.Kwahiyo ww mumeo akiona hapa ulimpa mtu denda la karne mwaka 1998 atakasirika?!
HahahahaNdio, haileti picha nzuri. Bora angesema tu anamtafuta sio kuhusisha mapenzi.
Sio wivu hata maana mimi sio wa kwanza kwake. Imagine huyo beatrice ni dada yako, na unajua comments za watu humu nyingine za kijinga. Haina ustaarabu hata kidogo.Hahahaha
So angekuwa ndio mwanamke anakumbuka denda la mkeo la miaka hiyo ungemkasirikia mumeo?!
Una wivu.