Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,060 Reaction score 5,252 Jan 21, 2026 #21 Kwahiyo umekuja kujiulizia kwa ID yako nyingine?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,873 Jan 21, 2026 #22 Yupo na mambo yake... Cc: Mahondaw
adriz de mbusii JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 16,786 Reaction score 37,803 Jan 21, 2026 #23 secretarybird said: Umejuaje 😂. Click to expand... Mimi nimesoma kwa Fidel , najua ni Boss lady halafu roho safi Uzi wa Jf voucher alikuwa anasambaza upendo mpaka wakina mbagaJr wakawa wanamfuata Pm
secretarybird said: Umejuaje 😂. Click to expand... Mimi nimesoma kwa Fidel , najua ni Boss lady halafu roho safi Uzi wa Jf voucher alikuwa anasambaza upendo mpaka wakina mbagaJr wakawa wanamfuata Pm
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,392 Reaction score 43,670 Jan 21, 2026 #24 adriz said: Mimi nimesoma kwa Fidel , najua ni Boss lady halafu roho safi Uzi wa Jf voucher alikuwa anasambaza upendo mpaka wakina mbagaJr wakawa wanamfuata Pm Click to expand... Lakini kusema ukweli pamoja na ukabwela wangu mimi sijawahi kumpiga vizinga huyu bibie. Ila namkubali sana bhana 😂.
adriz said: Mimi nimesoma kwa Fidel , najua ni Boss lady halafu roho safi Uzi wa Jf voucher alikuwa anasambaza upendo mpaka wakina mbagaJr wakawa wanamfuata Pm Click to expand... Lakini kusema ukweli pamoja na ukabwela wangu mimi sijawahi kumpiga vizinga huyu bibie. Ila namkubali sana bhana 😂.
Mcmillan de Maghayo Senior Member Joined Dec 6, 2025 Posts 197 Reaction score 436 Jan 22, 2026 #25 adriz said: = She has been taken . Click to expand... Big up dogo 👍🏿 Pia neanderthals nilienda nikasoma😁
adriz said: = She has been taken . Click to expand... Big up dogo 👍🏿 Pia neanderthals nilienda nikasoma😁
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 3,227 Reaction score 4,651 Jan 22, 2026 #26 Foffana said: Kwahiyo umekuja kujiulizia kwa ID yako nyingine? Click to expand... We jamaa bana
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,129 Reaction score 5,987 Jan 22, 2026 #27 Genius Man said: Namtafuta Bantu Lady hivi mme muona wapi ? Click to expand... Nahisi zele vocha alizokuwa anatoa inaweza ilikuwa ni operation maalumu ya ku_ID watu humu, ukiweka vocha wana namba yako ya simu jina na nida au inaweza kuwa ilikuwa vocha tu.
Genius Man said: Namtafuta Bantu Lady hivi mme muona wapi ? Click to expand... Nahisi zele vocha alizokuwa anatoa inaweza ilikuwa ni operation maalumu ya ku_ID watu humu, ukiweka vocha wana namba yako ya simu jina na nida au inaweza kuwa ilikuwa vocha tu.