Namtafuta atakayenifaa maishani

Namtafuta atakayenifaa maishani

akili_ninazo

Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
69
Reaction score
144
Habarini za sasa.

Mvua dar zinaendelea kupiga mfululizo hazikati na ndio zimenipa shauku ya kuandika huu walaka.

Akili_ninazo ni kidume mrefu wembamba kwa umbo, nipo singo na nina ugwaduu wa mahusiano sijakumbatia mwanamke kw kipindi kirefu sasa ususani kwnye hali ya hewa kama hii

enyi mabinti na mishangazi ya jeiefu mkuje Pm tufanye uchanguzi wa ki logical, kihisia na kisaikologia kutokomeza upweke wa akili_ninazo kabla sijapata mawazo machafu ya kupiga punyeto na mwishoo kuukosa ufalme wa Mungu.

Akili_ninazo mimi ni kijana mwenye libido ya kutosha lakini ni jobless, u jobless wangu chronic umenifanya nikose wachumba wengi nikijisemea "nikimpata nitampa nini huyu zaidi ya uzinz tu"
na nimeweza kuwakwea wengi kwa kujifariji sina cha kuwapa, lakini hear me out mabinti na mishangazi ya jf Akili_ninazo nina ugwaduu / hamu ya mapenzi na mahusiano asee njoeni tu mwanzo nitawapa dudud na mahaba hayo mengine yatakuja kwa influence ya dudu na mahaba tuliyopeana.

Pm ipendeze

Sitaki madume jike (lgbtiqwyz) Njia ni moja tu iendayo uzimani ipo mlango wa mbele.

karibuni.
 
Kila mmoja taachanganyikiwa tu kwa muda wake
 
Nendq Sinza corner Bar, maana kipindi cha joto kitakuja hutamhitaji Tena!
 
Back
Top Bottom