Y Yahusu Member Joined Oct 27, 2013 Posts 10 Reaction score 4 Mar 6, 2014 #1 Wakuu huyu mtu yuko wapi? Aliwahi kuwa bondia miaka ya nyuma akifanya mazoezi gerezani eneo maarufu kwa ndondi. Kijiwe chake Kariakoo mtaa wa Kongo na Magomeni mapipa. Yuko wapi Ally boxer?
Wakuu huyu mtu yuko wapi? Aliwahi kuwa bondia miaka ya nyuma akifanya mazoezi gerezani eneo maarufu kwa ndondi. Kijiwe chake Kariakoo mtaa wa Kongo na Magomeni mapipa. Yuko wapi Ally boxer?
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,038 Mar 6, 2014 #2 Katangaze kwa michuzi na kwenye magazeti ya udaku