namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
ni mhitimu wa TTC huyo sijui atawafundisha nini watoto huko shuleni...!Ni center sio centa
Ndio hapo hapoNi center sio centa
Sorry TCni mhitimu wa TTC huyo sijui atawafundisha nini watoto huko shuleni...!
Hapana kuna mishe nimemtafutia kanda ya ziwaVipi una mdai???
imebadilishwa mwaka gani!!Teachers Training College..au Niko nyuma ya mudaSorry TC
Nimeandika TC ili mkosoaji ajue nililenga nini?imebadilishwa mwaka gani!!Teachers Training College..au Niko nyuma ya muda
Unaweza kuona kama ni jambo dogo ila ni kubwa sana. Tunachambua typing error kukufundisha kuwa na tabia ya kusoma mara mbili taarifa yoyote kabla hujaipost. Unaweza siku ukawa mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano ikulu ukatuletea taarifa za ajabu.Ahhh!!! Wadau wanachambua typing error badala ya kutoa msaada
Nimempatia Temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwaUngeeleza unamtafutia nini ungepewa msaada...hatuwezi jua labda unamtafuta kwa wema or ubaya
Nimempatia temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwaUngeeleza unamtafutia nini ungepewa msaada...hatuwezi jua labda unamtafuta kwa wema or ubaya
Sawaa wanaomfahamu watakusaidia kumtafutaNimempatia Temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwa
Ahhhh!!!!Humu anatumia jina la lucas mobutu
Kama ni huyo mbona hata huu Uzi ameuona na amechangiaHumu anatumia jina la lucas mobutu
Mkuu TEMPLE manake nini? Kwa nini unasema Umempatia TEMPLE ilhali anatakiwa kwa interview? Sema umemtafutia Interview ya Kazi!Nimempatia Temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwa