Namsikiliza Fanuel Sedekia.....

Namsikiliza Fanuel Sedekia.....

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Huyu kijana alikuwa kabarikiwa haswa.....nyimbo aake ukizisikia lazima zikuingie ndani kwa moyo kunako mtima.....namsikiliza hapa alafu nilikuwa sijui kama ndio huyu alifariki Israel....

Nyimbo za kiroho zinaburudisha,zinaliwaza zinafundisha ni chakula cha moyo kwetu bn adam...wakati mwingi tunasumbuka na magonjwa,ufisadi,dhuluma na kil aina ya ghasia ndio dunia ilivyo uwanja wa fujo....ila ukisikiliza nyimbo hizi unafarijika sana unajiona kama uko huru..uko mbali na shida za kidunia unajiona kama huna madeni...unajiona kama unaishi nchi yenye maziwa na neeema tela...yaani hata kama hakuna umeme tanesco wamekata unajiona huru na amani tele....

Leo mwenzenu nasikiliza hizi nyimbo...huyu sedekia ni mwimbaji ambae Mungu kampa kipawa kutuburudisha nyimbo za injili....namfananisha na Maiko Jakisoni kwenye nyimbo za kidunia.....

Sasa nasikiliza nyimbo ya nitaimba......anasema ataimba aleluya asubuhi,mchana mpaka jioni kweli zina mafundisho mazuri sana....imagine anasema kila jambo na wakati wake na majira yote ila nyimbo yenye majira yote nyimbo hiyo ni Alleluya.....tuimbe wooote one two threee twendeee

Kabla ya hapo nimesikiliza kibao chake murua sana....unstahili kuabudiwa....frankly sikujua ni sedekia kapiga hiki kibao....sikiliza utajua this man aiseee kapewa kipawa....hizi ndio nyimbo binti yangu Lisa anapaswa kusikiliza....anaimba ni nani kama wewee unastahili kuabudiwa...hakika kama wewe unastahili kuabudiwa....aisee.....afu sikilizaz upendo wa Yesu hakika nawaambieni mtajisikia huru moyoni mwenu.....
 
tupe basi link to youtube, au lyrics ya nyimbo mbili tatu
Mi simjui, wala sijawahi kumsikia (probably coz I'm a Muslim)
 
Back
Top Bottom