Namsifu mzee wa upako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namsifu mzee wa upako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Mar 16, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kupitia chanel 10 mzee wa upako kasema kikombe cha babu kama ni mipango ya Mungu basi na iwe hivyo. Anapingana na wale wanaompinga babu. Anasema Mungu ni mpana sana kuliko tunavyodhani. Anawaombea wote waendao kwa babu wapone. Ishu inakuja, nani mkweli ilhali Mungu tunayemuamini ni mmoja? Angalau huyu kaweza kujibainisha na wenye mahitaji ya kikombe cha Babu!
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Soon tutasikia Lusekelo akipewa u agent kwa tawi jipya la babu Dsm
   
Loading...