Namshukuru mungu;ahsanten wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namshukuru mungu;ahsanten wana jf

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Nov 9, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa najua ni neema ya mungu kuwa nanyi kila iitwapo leo...na biblia imesema tusiache kuwa na shukran...tangu nimeoa nilikuwa mnywaji mzuri sana wa wisky kabla mungua ajaamua kunichagua kumtumikia...nikapata na ndoa ..baada yahapo tumekuwa tukitafuta mttoto na wengine wanakumbuka mada nilizokuwa nikianzisha kuna walioongea wanachoweza kuna waliotoa ushauri na wengine kuelekea kutuma mamombi yao binafsi juuu yangu kupitia pm's
  kwa wale wanandoa msiache kuwa pamoja pale mnapoamua kutafuta mtoto...tatizo la mtoto wengi wanalichukulia ni kwa mwanamke pekee...nimekaa na mwenzangu miezi 4 kabla ya kuamua kwenda hospital pamoja na kukutwa na prblms ambazo niliamua kumuachia mungu mara ukienda huku wanakuuliza ulikuwa unakunya sana pombe...anyway napenda kutoa ushauri tuachane na pombe zina mdhara yake...tena sana...nilipopewa ushauri nilijitahidi kuufwata na pongezi kwa wale walionishauri kwenda kwa dk mgaya pale namanga....ametusaida sana na hata leo hii kufikia kuitwa baba fulani..thanks much jf...thx everybody
  godbless u...hope m twins waataitwa j&f
  goodmorning
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Pamoja mkuu.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,534
  Likes Received: 81,947
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mkuu na kila la heri na mapacha wenu wakue na afya njema na wawe binadamu wema wataojaa upendo wa hali ya juu na wapenda amani
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  asante mdau, karibu na kila la heri
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hongera sana
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hakika Mungu Yupo hongera sana mkuu,
   
 7. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana mkuu, mungu aibariki familia yenu.say hi to j&f
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,982
  Likes Received: 23,684
  Trophy Points: 280
  From the bottom of my heart I congratulate you and your wife. I thank God for His Power. Glory to God!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Congrats baba wawili, umepata bahati ya kushuhudia second chance from God!
  Cherish the life you live
  for as long as you shall live
  take care of the sweetheart
  bless the twins with proper care

  looking at your post ma' broda
  i see super excitement
  more so the red marked words:D:D
  all in all Pdidy...
  May God bless you more and more and more

  I have got nothing but love for you bro'
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hongera sana. Mungu akubariki zaidi na kukuongezea imani.
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Thanks br n sis.huu ni ushushuda kwa maisha yangu kwa kweli nilikuwa nawaza sana kama kuna dalili za watoto mbele yangu ambapo kila dk akipima ananiuliza swala la pombe akishaangalia sperm rate na madubwasha mengineyo...ila kwa ushauri zaidi pengine wewe unaweza kuwa na tatizo kama langu usikate tamaa swala muhimu ni ukubali kwenda kupima...jamani hapa ndipo shuguli kubwa ilinichukua mwezi mzima...alafu kwa upande wa wanaume ukishapimwa ukakuta sperms hazina tatizo...nenda kwenye swala la hormones...mnaokumbuka nilikuja na mada ya"nifanyeje kuongeza hormones za kiume""hii ilikuwa fundisho sana kwangu na sitaacha kuikumbuka...nilipopewa dawa za kurekebisha sperms nikapima tena nikaambiwa nipime rate za hormnoes ndipo nikakuta za kiume ni 1.6 wakati zinatakiwa 2.2-10% nilimwomba sana mungu na kuamini kama ni makusudi yake kuoa basi ni makusudi yake kunipa mtoto thanx much kwa mkewangu aliekwa pembeni yangu muda wote kunikumbusha kwenye maombi...kunywa dawa muda muafaka...usikate tamaa mungu anafungua mlango pale inapoonekana imezibwa...wanandugu si bure...niliamua kwenda kupima baada ya madadazangu kuanza kumtukana mkewangu mpendwa oooohhh anajaza chooo...na ni madada uande wa mama wadogo wakubwa...wkati huo mkewangu ashapimwa ayuko bomba...aaaahhhh ikabaki imani...thanx much all naomba mnaoendelea kutafuta watoto msikate tamaa...mkiwa na tatizo tulizane hapa hapa jf...zipo njia nyingi si lazima ujitaje...weka swali watu waliparamie...usidharau vinavyoandikwa...nakumbuka nilipoandika kuna jamaa zangu waliniandikia dawa kila hosp nikienda wanasema mpaka niagize s.africa...bado nikaamini mungu za dar nazo zaweza kuniponya yeye akiwa mbele yangu.....
  lunch njema wote
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  tnaks much br MTM God is GOOD ALL THE TIME I RELEASE THIS IMPATATION TO ALL JF MEMBERS GOD IS GOING TO BRING MORE MEMBERS OF JF...
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Mkuu yaani maombi yamejibiwa mara 2 ina maana kagonga duble duble? /pacha
   
 14. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Mkuu yaani maombi yamejibiwa mara 2 ina maana kagonga duble duble? /pacha. Tafadhali 1 mwite NGULI.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Duh... Yaani mtoto aitwe Nguli tena!??? si atagongwa na majembe na mashoka kama hiyo avatar yako?
   
 16. M

  Msindima JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hongera sana Pdidy,Ushuhuda wako umenifurahisha saana,Mungu amefanya kwa wakati wake.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,982
  Likes Received: 23,684
  Trophy Points: 280
  Mpwa uliza kwanza hao matwins ni ma she/he? Kama wote ni she afu mmoja aitwe nguli, kwenye get tugedha ya kumpongeza mzazi mbona itakuwa balaa?
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nimefarijika na wewe god bless you with your familia
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Hizo ni fimbo za kuchezea golf.
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Mkuu MTM inabidi J isimame badala ya MTM

  F badala ya NGULI
   
Loading...