Namshukuru mungu;ahsanten wana jf

Hongera sana Pdidy,Ushuhuda wako umenifurahisha saana,Mungu amefanya kwa wakati wake.

Thanx br..MUNGU ana muda wake...ushuhuda zaidi nilioupata na wa kusisimua unajua mambo ya bfriend n gfriend tulitenguana kweli kwenye siku zao lakini wapi nikafikiria mambo ya kuoana haa MUNGU akaamua kuja live wanandugu msiogope kuoa ama kuolewa kuna baraka tofauti mkiwa bfriend na gfriend wakati mwingine Mkshaoana MUNGU anafungua vile vilivyofungwa na shetani na hivyo kufanya utukufu wake uhimidiwe milele..........jana nikiwa maomboni niliomba sana mungu ajidhihirishe kwa all ma friends incl jf members so any one had prblm receive impatation right now b4 end of this yr mungu anakwenda kufanya mambo ya ajabu br n sis...mi upande wangu nimemwogopa sana especially mwaka huu...kuna mengine naogopa hata kutoa ushuhuda ....baada ya kuoana tulikaa na mke wangu tukaorodhesha mahitaji yetu...likiwepo GARI,KUMALIZA SHULE,WATOTO,,NA MENGINE MENGI...haya mengine mungu aliamua kushusha moja baada ya lingine ...shule tumegraduate na ma wyf majuzi snd dgree kwa kweli ni mambo mengine ni kuwa na imani tu....mungu akafanye yote juu ya jf
 
Back
Top Bottom