Hivi punde akihojiwa na televisheni ya Azam,Mh Nape Moses NNauye, ameendelea kulalamika kuwa kutenguliwa kwake kuna namna lakini hakushtushwa kwa sababu yeye ni mtu wa Principles!!
Ningependa kumshauri Nape kuwa cheo ni dhamana,kama ni kweli yeye ni mtu wa principles,ingekuwa vizuri akatoka kabisa CCM.
Nape aelewe yeye sio wa kwanza kun'goka na si desturi ya watu wa CCM,uking'olewa kubwabwaja hovyo ni vema kama anaona hakutendewa haki,angejitoa tu CCM,vinginevyo atachanganyikiwa tu.
Haya ma V8,na majumba ya Masaki wanayopewa mawaziri wadogo kama Nape yanawachanganya sana