Wewe ulitaka asemeje? Andika hapa maelezo unayo ona ni sahihi ili tukosoe alichosema.Akihutubia wananchi wa Vunjo amesema Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC haiko huru kuanzia leo,baada ya baadhi ya watendaji kubadilishwa hivyo kuanzia sasa wananchi watambue Tume yao haiko huru.
Hivi kabla ya baadhi ya watendaji kubadilishwa Tume ilikuwa huru?
Ina maana miaka yote Tume ilikuwa huru Hadi leo watendaji walipobadilishwa ndio imekosa uhuru.?
Mh.Mbowe uache kutulaghai wananchi na kutuona hatuna uwezo wa kufikiri wala kuona kinachoendelea ndani ya siasa zetu.!
Wengi tunaelewa Tume haiko huru miaka yote , hivyo unaposema kuanzia leo, unawafanya wenye uelewa wazidi kukushangaa kwa misimamo na kauli zako zenye ukigeugeu.!
Wewe ulitaka asemeje? Andika hapa maelezo unayo ona ni sahihi ili tukosoe alichosema.
Usihangaike sana na hawa vijana ambao wamejaza ushabiki kwenye fikra zao."Kila mtanzania" ina maana ya "unanimous"
Kwa hiyo basi hakuna haja ya kulalamika, kupiga kampeini na kufanya uchaguzi. Kufanya kampenini ni kuwaomba watanzania wasiotaka kukupa kura ili wakufikirie kukupa kura zao. Kabla ya kupiga kura, hakuna ajuaye mshindi ni yupi. Tuliofuatlia chaguzi hizi kwa muda mrefu tunajua kuwa wingi wa watu mkutanoni siyo reflection ya kura kabisa. Wengine huuhudhuria ili kuptisha muda tu kwa vile wanakuwa hawana la kufanya wakati huo.
Ushabiki unakufanya usione udhaifu kwenye kauli ya Mbowe.Dah ushabiki mbaya mbowe alichosema kipi cha uwongo na ni lini mbowe aliwahi kusema tume ya uchaguzi ii huru???
Siku zoooote tumeshihudia wakilalamika tume haiko huru
Na Hii leo imejidhirisha baada ya baadhi ya ma officer kuondolewa nyakati izi??
Kikwete asidhani atasalimika kwa kuitumia Tume!
Kila Mtanzania anafahamu kuwa CCM inaondoka sasa!
CCM out
Nahisi Mbowe anawaandaa wafuasi wake baada ya kuhisi gia ya Angani kubuma.UKIWA mtwambie watanzania kuwa mnajiandaa kukataa matokeo...kwa visingizio vya kijinga...kuwa tume wamepelekwa maafisa wapya...mbona hamkugoma kuingia kwenye uchaguzi kama mlijua tume sio huru?
Lubuva kaishatwambia tutapiga kura wenyewe na tutazihesabu wenyewe vituoni na kubandika....sasa hao makamishna wanatuhusu nini na watatuibia vipi kura...
Akili za mbowe zinaendana na kiwango cha elimu yake tumhurumie...
Akihutubia wananchi wa Vunjo amesema Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC haiko huru kuanzia leo,baada ya baadhi ya watendaji kubadilishwa hivyo kuanzia sasa wananchi watambue Tume yao haiko huru.
Hivi kabla ya baadhi ya watendaji kubadilishwa Tume ilikuwa huru?
Ina maana miaka yote Tume ilikuwa huru Hadi leo watendaji walipobadilishwa ndio imekosa uhuru.?
Mh.Mbowe uache kutulaghai wananchi na kutuona hatuna uwezo wa kufikiri wala kuona kinachoendelea ndani ya siasa zetu.!
Wengi tunaelewa Tume haiko huru miaka yote , hivyo unaposema kuanzia leo, unawafanya wenye uelewa wazidi kukushangaa kwa misimamo na kauli zako zenye ukigeugeu.!
Kimsingi Mbowe anapenda sana kulalamika, lakini akumbuke kwamba alisema wamemchukua Lowasa kwani ndo anajua wizi wa ccm, mbona tena anatapatapa?
Na wao wataangaika sana, kwani Mwl.Nyerere aliwahi kuwambia kwamba ni vema wakatafuta nafasi za kutumikia wananchi kwa maana ya serikali/mitaa, udiwani na ubunge alafu wakishaaminiwa wapewe nchi, walipuuza ushauri wa baba wa taifa, huwezi kuwa na wabunge 27 kati ya majimbo 266, alafu unataka Urais, ni aibu sana, wangetumia nguvu nyingi kwenye ubunge na udiwani maana yake tungepata hiyo tume huru na sheria nyingi zingekaa vizuri na ndo shida ya watz, wao wamekomaa na Urais wakati wagombea wao tena walio wengi hawana fedha za kufanyia kampeni, kila siku wimbo wao ni tume ya uchaguzi.
Kweli katika hali ya kawaida utawapatia nchi watu ambao kila kukicha ugombana kwenye nafasi za majimbo? hii nafasi ya Urais bado haiwafai kabisa.
Mkuu huyu Mbowe ameshagundua wafuasi wake wengi hawana uwezo wa kuhoji kauli zake.
Ndio maana inafika wakati anatoa kauli zinazopingana na misimamo yake ya awali.
Kama Taifa hatuitaji viongozi vigeugeu na wasiosimamia misimamo yao, Mbowe amedhihirishi hilo na kuwa hapaswi kuaminiwa Maana kauli zake zinategemea zaidi upepo wa kisiasa kwa muda huo.
Hao wasomi wengi wamechangia nini kuhusu Demokrasia ndani ya Chadema Zaid ya kuburuzwa na maamuzi ya Mbowe.?Nadhani umechanganya mambo hapo mkuu. Kwamujibu wa Twaweza wafuasi wengi wa Chadema niwale wanaojua nini kinaendelea ndani yanchi na Duniani kwaujumla. Yaani watu walioelimika (wasomi)
Bali Ccm ndoinaungwa mkono nawatu wasiojua A wala B. Wao wakiambiwa tu kidumu wanaitika kidumu. Hao ndowaliowengi nchi hii ila kdri sikuzinavozidi kusonga mbele wanatoweka maana waliowengi umri umewatupa mkono.