Namshangaa Mh. Mbowe....!!

Laghai huyu hawezi kuaminiwa kwa lolote. Ni laghai huyuhuyu aliyeudanganya umma kwamba Dr Slaa kapewa likizo.
Usipotoshe,alisema slaa kapumzika kidogo baadaye atatukuta tunaendelea. Tafsiri yake kwa waswahili ni likizo
 
Umejidhalilisha sana! Hata kama ni chuki hii yako imepita kiwango! LOWASSA ndiye Rais wako baada ya KIKWETE! Taka usitake!
Post zote kwenye uzi huu zinamwongelea mbowe na ulaghai wake, wewe unakuja na habari ya kufikirika ya urais wa lowasa, kulikoni?! Nionyeshe ni wapi nimemtaja rais wako lowasa kwenye uzi huu.
 
Umejidhalilisha sana! Hata kama ni chuki hii yako imepita kiwango! LOWASSA ndiye Rais wako baada ya KIKWETE! Taka usitake!
Kwa hii Tume ambayo Mbowe analalamika sio huru, kama anaamini atashinda kelele za nini kuhusu Tume ya Uchaguzi inayoundwa na Raisi.

Rais anauwezo wa kumbadilisha yoyote ndani ya Tume hata Lubuva Mwenyewe anaweza kutolewa muda wowote kama hamridhisha mwajiri wake,Katiba inamruhusu.!
 
Mkuu muda mwingine jaribu kuwa fair tu! Simamia unachokiamini, acha ushabiki!
Mkuu ushabiki upi, kuhoji kauli za kiongozi wangu zisizoeleweka, Sasa nitasimamia ninachokiamini vipi wakati anaeniaminisha mwenyewe haaminiki.?
 
Nyani haoni kundule hata kama linaachia uharo ovyo majukwaani.
Kamati kuu ya ccm ipo huru sana!
Sophia Simba, Nchimbi na Kimbisa walihoji na kugoma kuendelea na mchakato mwenyekiti alipokuwa hajarudisha jina la Lowasa.
Mwenyekiti alikuwa team Membe, wajumbe watamchagua Magufuli!
Hadi leo, kina Nchimbi wanaimba mtaisoma namba!
Je side B?
Mshenga na Mbowe na Lisu walikuwa na jina lao!
Cc inaambiwa huyu,, wao ni ndiooo! Kama Nyumbu tu!
Lissu na Mnyika hawaridhiki lakini wanaogopa wakihoji out!
 

Kwani Sheria inamtaka Rais kuteua wafanyakazi wa Tume toka kada ipi?
 
1. Ajabu na wewe CCM unakiri kwamba tume haijawahi kuwa huru.

2. Acha kupotosha kwani haa na sisi wengine tumeona hiyo habari.....amesema tume imekuwa ni ya usalama i.e. wameondolewa watenaji wake na sasa wamewekwa watu wa usalama ili wajipange kuiba kura.

3. Hamtafanikiwa maCCM, this time tutawapiga chini...hamchomoki z

 
Ndiyo maana tunawaambia wakipata robo ya majimbo Tanganyika wafanye sherehe kubwa sana.
 
miCCM mipuuzi sana ! Eti kiongozi wangu !

Mkuu ushabiki upi, kuhoji kauli za kiongozi wangu zisizoeleweka, Sasa nitasimamia ninachokiamini vipi wakati anaeniaminisha mwenyewe haaminiki.?
 

huyo hajielewi
 
Mkuu huyu Mbowe ameshagundua wafuasi wake wengi hawana uwezo wa kuhoji kauli zake.

Ndio maana inafika wakati anatoa kauli zinazopingana na misimamo yake ya awali.

Kama Taifa hatuitaji viongozi vigeugeu na wasiosimamia misimamo yao, Mbowe amedhihirishi hilo na kuwa hapaswi kuaminiwa Maana kauli zake zinategemea zaidi upepo wa kisiasa kwa muda huo.
 
Usipotoshe,alisema slaa kapumzika kidogo baadaye atatukuta tunaendelea. Tafsiri yake kwa waswahili ni likizo

Labda mwenzetu uliambiwa pekee yako ila sisi tulisikia yupo likizo ya wiki moja.
 

Kwahiyo unataka akiona kasoro NEC asiseme?
 
Nyie ndio mnaomfanya Mbowe azidi kuonekana kituko mbele ya waelewa.

Kama Mwenyekiti wa chama kinachowania kuongoza nchi anatakiwa kuwa makini na kauli zake, nchi haiendeshwi kwa kubadili gia angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…