idriss
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 720
- 366
Sita janga la taifa
Hata watu wapendao kulalama,kutusi na kukaashif viongozi na watawala ni janga kubwa mno kwa taifa..mfanoe ni weye pia.
Sita janga la taifa
Sitta ni HATARI. Kwa huu ubazazi alioufanya leo, historia inakwenda kumhukumu.
SITTA ndio kiongozi pekee mwenye kufanya maamuzi magumu niliyewahi kumshudia kwa umri wote nilioishi mpaka sasa.
Hongera sana SHUJAA 6 acha wanafiki wachonge ngenga ila umewachoma kotekote.