Nampongeza sana Sitta

Nampongeza sana Sitta

Kikuyumbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
391
Reaction score
94
Wanajf napenda nichukue fursa hii kumpongeza aliyekuwa mwenyekiti wa BMK Samwel Sitta kwa kupigania posho na kuhalalisha ufisadi wa pesa za walipa kodi kupitia Katiba ya CCM iliyoandaliwa na fisadi Chenge.

Sitta ameonesha jinsi alivyo FISADI kuliko hata waliowahi kutajwa hapo nyuma (Lowasa, Rostam, Chenge na wengineo) amepigania hizo posho kifisadi mpaka amehakikisha amezipata.

Hongera sana Samwel Sitta, hatutakusahau kamwe hata utapokufa, japo naamini huna siku nyingi hapa duniani na zilizobaki zitakuwa za tabu na mahangaiko sana kwako.
 
Natangaza rasmi kwamba sitta ni adui namba 1 wa watanzania wazalendo.
 
Pia apongezwe kwa kuwatukana Maaskofu wa dini ya Kikristo.Kwa kweli anastahili pongezi
 
Sitta katajirikia Bunge la katiba
Huu ni waraka wa wahuni wenzake
 
Sitta oyeeeeeee

Na alitaka urais tunampa tu, mtakonda sana mwaka huu hehehehe na mtuache
 
kwa lipi unampongeza? kuchakachua katiba ya wananchi? kwa kukamilisha ilani ya chama cha mapinduzi
 
Wanajf napenda nichukue fursa hii kumpongeza aliyekuwa mwenyekiti wa BMK Samwel Sitta kwa kupigania posho na kuhalalisha ufisadi wa pesa za walipa kodi kupitia Katiba ya CCM iliyoandaliwa na fisadi Chenge.

Sitta ameonesha jinsi alivyo FISADI kuliko hata waliowahi kutajwa hapo nyuma (Lowasa, Rostam, Chenge na wengineo) amepigania hizo posho kifisadi mpaka amehakikisha amezipata.

Hongera sana Samwel Sitta, hatutakusahau kamwe hata utapokufa, japo naamini huna siku nyingi hapa duniani na zilizobaki zitakuwa za tabu na mahangaiko sana kwako.

Mjukuu wa marehem Shee Yahya Hussein nini weye????
Yaani yuwathibitisha kuwa yuwafaham kwa hakika siku za mtu za mbeleni, yatomkuta hivi punde pia mpah kifo chake na amebakiza masiku kadhaa ya kuishi(alghaib/Unseen)

Si vyema mtu kuzungumza jambo ama kufanza maamuzi akiwa amechukia sana ama amefurahi kupindukia, mara nyingi maneno ama maamuzi yatolewayo katika hali hizi huwa si sahihi sana..
 
Wanajf napenda nichukue fursa hii kumpongeza aliyekuwa mwenyekiti wa BMK Samwel Sitta kwa kupigania posho na kuhalalisha ufisadi wa pesa za walipa kodi kupitia Katiba ya CCM iliyoandaliwa na fisadi Chenge.

Sitta ameonesha jinsi alivyo FISADI kuliko hata waliowahi kutajwa hapo nyuma (Lowasa, Rostam, Chenge na wengineo) amepigania hizo posho kifisadi mpaka amehakikisha amezipata.

Hongera sana Samwel Sitta, hatutakusahau kamwe hata utapokufa, japo naamini huna siku nyingi hapa duniani na zilizobaki zitakuwa za tabu na mahangaiko sana kwako.

Njoo ulewe mkuu na lete namba yako upewe hela upunguze njaa
 
Natangaza rasmi kwamba sitta ni adui namba 1 wa watanzania wazalendo.

Mie ni mzalendo pia lakin sina hatta ndururu ya adawa nae na wala si adui yangu asilani...
Je yuwanivua uzalendo ndugu???
 
Someni kwanza katiba inayopendekezwa, sio kupiga kelele wakati hata kilichomo wengi hawakijui;
Bendera fata upepo, ni tatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom