nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 365
kwa mara ya kwanza nawiwa kumpongeza ndugu kikwete kwa kuanza kitimiza ahadi zake ,lol!!ameanza kuleta pikipiki za aina yake toka sauzi afrika ,khe!!i thought bajaj would be better !?haya bwana mkuru ameamua hatuna ujanja ,
PILI,ameamua kuyatengeneza maisha ya watz,kuwapunguzia machungu ,hayo twaanza kuyaona let u check nauli imeongezeka,umeme bado shida ,hatima ya watoto waliomaliza kidato cha 4 mwaka 2010 haijaelewa ...jamani ,je sina budi kumpongeza kwa kuyafumbia macho hayo yote au?
TATU,nampa mkwere big up kwa mambo yake mazuri anayoyafumbia macho ,mnajua huyu jamaa anaelewa mtu flani na flani ktk safu ya viongozi wangu hafai,ni mchafu ,fisadi..doh !!yeye hana muda wa kuyasikiliza hayo kwani masikio yamejaa nta. NNE,pongezi yangu ya mwisho ni kwake kwani naona kapunguza safu ya baraza la mawaziri ,kapunguza mikopo ya wabunge ya kununulia magari ,safari za kwenda nje ya nchi zimepungua na mambo kadha wa kadha....