swali la kizushi' we mvulana au mwanaume?habari zenu wanajamvi jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu nikajikuta namkopa pesa ingawa sikuwa na shida ya pesa.sas wanajamvi wenzangu naombeni msada nifanye nn kuuondoa huu woga kwa huyu mtoto?
hawa ni vjana wa mulugo wanashndwa tu kusema kaka zangu nifundishen kutongoza..akikua ataacha kuogopa.Dah humu ndani kila cku watu wanataka kufundishwa kutongoza,inashangaza lakini ni kweli!!
habari zenu wanajamvi
jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu nikajikuta namkopa pesa ingawa sikuwa na shida ya pesa.sas wanajamvi wenzangu naombeni msada nifanye nn kuuondoa huu woga kwa huyu mtoto?

yaani kukopa umeweza kutongoza umeshindwa??? wasalimie MOSHI....