Maybe viranja walikuwa wanasoma comments kwanzaThread mbona ilifungwa siku moja kabla ya kupewa ban
Yani baada ya kuufufua ule uzi wa love connect ndo mlimvuruga mhusikaAcha kabisa yaani halafu tulikuwa tunapiga story wenyewe mara paap jini mkata kamba huyo hapo yaan dk 5 hazijachukua ban ikaanza kutembea
Kuna jamaa alifungua uzi wa kuwalaumu mods kwenye compaints forumAcha kabisa yaani halafu tulikuwa tunapiga story wenyewe mara paap jini mkata kamba huyo hapo yaan dk 5 hazijachukua ban ikaanza kutembea
Bwana we nipe mahela tu tena mengimengiUnataka pesa ngapi bibie?ila nibakizie mtaji tu tafadhali
Toto linapenda hela balaa,wacha nijaribu plan bAhaaaa hapa chini kasema mihela ipo tayar ni ww tu kumkubalia..
Kama hela ipo sasa kula toto hilo apo lishautenga
Ipo moja Default iliyoandikwa Vincii..Mzee wa kubadilisha avatar,wewe uwe kiserengeti changu na uwe una mahela
Yaan hao viranja mpaka celebrity walikuwa wanapita kimyakimya na jini mkata kamba alivyokuja ndio kuanza kupewa banMaybe viranja walikuwa wanasoma comments kwanza
Yani baada ya kuufufua ule uzi wa love connect ndo mlimvuruga mhusika
Nadhan ali
Kuna jamaa alifungua uzi wa kuwalaumu mods kwenye compaints forum
Akataja na uzi wa gire
Kabla sijaisoma vizuri post yake nikajikuta nimepigwa ban
Aisee...ndio maana!Hana dawa zote amezimalizia kwanguuu
HahahhahaWasikimbie jamani huo ndio ukweli
"..naye mume atawaacha wazazi wake,ataambatana na mkewe..nao watakuwa mwili mmoja.."...mwili wako muhimu kwangu shunie !Asante Nelly wowowo langu linanitosha mwenyewe
Mimi ni tajiri wa matrekta namiliki trekta NNE na pawatila sabaAisee nakuwaje mke wako tena mkuu mm nimezaa na watoto 3 mkuu nashukuru sana kwa kunipenda ubarikiwe sana mkuu
"..naye mume atawaacha wazazi wake,ataambatana na mkewe..nao watakuwa mwili mmoja.."...mwili wako muhimu kwangu shunie !
Mimi ni tajiri wa matrekta namiliki trekta NNE na pawatila saba
Nimelima hekta 2500 za mpunga na 700 za mahindi kwanini nijizuie moyo kupenda mwezi wa kumi nashusha combining harvester Nina haki ya kuonyesha misuli kwa watoto wa kike nikiwa frii ntakuchek
Mkuu ban ni siri ya moderators so hata mm sijuiAmepigwa ban kwa sababu gani mkuu?
Ila inawezekana kazidisha idadi ya michepuko hadi ikazidi mizani.Amepigwa ban kwa sababu gani mkuu?
Mapenzi bwana, unayempenda unakuta hakupendi, ila yuko busy kumpemda asiyempenda!
Aisee sikujua kama nimechumbia MTU maarufu mnoo jf
Kiufupi shunie anashika nafasi ya NNE jf kwa kutuma post nyingi sana yani katika member laki NNE na nusu wa jf waliotapakaa duniani shunie ni wa NNE ametanguliwa kidogo na rutashubanyuma
Numbisa
Mshana
Shunie
Hii inanifanya namimi niwe mume wa mwanamke maarufu duniani
Imagine hata nyani ngabu ameachwa mbali mnooo aisee
Kuoa ni kuchagua thru shunie namimi nimaarufu sasa jf kwakuwa ni mume wa MTU maarufu yani nisawasawa na mume wa fatou bensouda
Aiseee mkuuYani shunie ametuma msg 86000+ elfu themanini na sita
Likes receive 160000+ laki moja na sitini
Likes given ni 260000+ laki mbili na sitini
Kumiliki mwanamke kama huyu sio jambo dogo
Unadhani vipofu hawapendi?Unampendaje mtu humjui hujui anafanaje
Unadhani vipofu hawapendi?