Mabrouk (Congratulations) Mkuu, Umeopoa na kufrijika.....Cha muhimu na ukweli "Panua kifua ubebe wanafamiliya na extended relatives wake" Yaani kupigiwa hodi saa 8 nane za usiku au kusongamana na wageni, hao jamaa kwao ni kawaida Lakini nawe utajifunza mengi....! kipendacho moyo dawa.
Mkuu WithoutName usiku mwema, Vipi aisay tulikuwa na jirani nao, Nikawasoma na kuwa elewa vilvyo......! Tupashe on your side vipi....We kweli huwajui wasomali
Mkuu WithoutName usiku mwema, Vipi aisay tulikuwa na jirani nao, Nikawasoma na kuwa elewa vilvyo......! Tupashe on your side vipi....
mmmh hata kwa hali hii ya dunia ya sasa hawakubadilika?.... Labda new generation !!Yah wanatabia hiyo wao kwa wao lkn ikitokea binti yao akaolewa na mtu wa mbali basi atatengwa na ukoo mzma
nimefanya uchunguzi mda mref kusema kweli nimeamini ananipenda
Hivi sikuhizi wameacha kujimega vi.si.m.i !!Yah wanatabia hiyo wao kwa wao lkn ikitokea binti yao akaolewa na mtu wa mbali basi atatengwa na ukoo mzma
Siku alshabab wanakuja kumchukua mtu wao utakimbilia wapi!
mmmh hata kwa hali hii ya dunia ya sasa hawakubadilika?.... Labda new generation !!
Hivi sikuhizi wameacha kujimega vi.si.m.i !!
Okay! nilisikia kama haujanyofoa hiko kipua, basi hupati baraka wala hupati mahari makubwa..!!Wale hardcore bado wanafanya hyo kitu, bt walioelimika hawanaga mambo hyo
Okay! nilisikia kama haujanyofoa hiko kipua, basi hupati baraka wala hupati mahari makubwa..!!
nadhani, si unajua Mogadishu?
CnaJina inaonekana wawafahamu sana hawa wa watu! au na wewe ni mdau nini..??Najua kuna kitu inaitwa "gabatiga" yani hiyo inatolewa kwa dollar lkn kw kua jamaa ataoa bila idhini ya wazee haitamcost sana
Yah wanatabia hiyo wao kwa wao lkn ikitokea binti yao akaolewa na mtu wa mbali basi atatengwa na ukoo mzma