nampenda sana

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
habari zenu wana jf, nawaombeni msaada imetokea kumpenda sana bint wakisomali ivi kuna mtu alishawahi kua na uhusiano na msomali humu ndani? (boy/girl) nahitaji anipe mawaidha kidogo maana nikweli nampenda...
 
nimefanya uchunguzi mda mref kusema kweli nimeamini ananipenda
 
nataka kumuoa kweli...
 
Kumuoa msomali ni ngumu cz hawa ndugu zangu wana ukabila sana, be preapared unaweza usikubalike kwao, pia inawezekana hata huyo binti atatengwa na familia yake, lkn kama kweli anakupenda na ww unampenda basi haitokua imposible, lkn ukimuoa make her your priority and plz usije ukamuumiza cz shell loose her family akiolewa na ww,,, wallahi huu sio ubinadamu lkn tutafanyaje ts culture!
 
oh asante kwa msaada...Mungu atatusaidia
 
Amiin,, lkn usivunjike moyo dunia imebadillika, naona wasomali wengi wameolewa na waswahili allso na wazenji it happens wazee watakasirika lkn wt time watamsamehe tu, unajua sisi ni binadamu wote tutarudi kwenye udongo so no one is superior nor inferior, we mlainishe tu huyo bint hata kwao atatoroka kwa ajili yako, lkn plz plz dnt ever hurt her
 
promise @CinaJina nimefuhi kidogo
 
sure sure and verry sure.....nataka nijue jina lako ili my first born nimpe jina lako....
 
Mabrouk (Congratulations) Mkuu, Umeopoa na kufrijika.....Cha muhimu na ukweli "Panua kifua ubebe wanafamiliya na extended relatives wake" Yaani kupigiwa hodi saa 8 nane za usiku au kusongamana na wageni, hao jamaa kwao ni kawaida Lakini nawe utajifunza mengi....! kipendacho moyo dawa.
 
Haha thank u, I hav a beautiful name, ntakuPM ila sikushauri cz atakua mtundu kama mimi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…