Achana naye ni shemegi yako huyo tafadhali,mbona nyie vijana mnakera hivi?Tusigombane kwa vitu kama hivi wanawake ni wengi tafuta wako!Asalaam aleykum wana JF. Poleni na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta riziki.
Lengo kubwa la kuleta huu Uzi mbele yenu ni kwamba nimetokea kumpenda sana huyu mdada SKY ECLAT. Umekuwa ukinitokea ndotoni mara nyingi sana nimevumilia nimeshindwa.
Ndotoni nimekuwa nikikuona mrembo uliyejaaliwa hivi vitu;
•mrembo uliyeenda hewani.
•mwenye umbo namba nane na msambwandwa wa kubinuka.
• Rangi ya chocolate( Rangi ya pesa)
• Una guu la champaign.
•Una mashimo mashavuni hata usipocheka yanaonekana.
•Midomo yako mizuri.
Nampenda na nina hisia kali sana juu yake. Napenda sana siku moja ndoto yangu itimie yani tuwe kitu kimoja( mume na mke) tujenge familia iliyo imara.
Sky Eclat naomba unielecwe mdada kwa upendo million nilio nao juu yako.kila nikiona bandiko au hata comment yako kiukweli huwa napata faraja ya moyo asilimia 45℅.
Hivyo ili nipate faraja na amani ya moyo kwa asilimia zote mia inabidi hizo asilimia 55% uzikamilishe kwa kunipenda Kama navyofanya kwa upande wangu.
Nakupenda sana sky Eclat. Nina mengi ya kueleza juu yako ingawa maandishi hayatoshi kueleza Upendo wangu kwako isipokuwa tu moyo wangu.
Naomba kama hautojali nije PM tuyajenge mtoto mzuri Sky Eclat!
Nilikuwa namsoma muda mrefu sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yawezekana ni member wa siku zote kaamua kumfungukia kwa id nyingine, au ni fan wake huwa anamsoma tu kama guest, sasa kaamua kujiunga rasmi.
Unamaanisha nini mkuu?Achana naye ni shemegi yako huyo tafadhali,mbona nyie vijana mnakera hivi?Tusigombane kwa vitu kama hivi wanawake ni wengi tafuta wako!
Mimi Ni kakako,nikikuambia achana naye ni shemegi yako huelewi nini?Unamaanisha nini mkuu?
Hahaha mpeleke kwa mtogoleNimwishiwa pose mkuu sina la kusema, leo nimepatikana.
Acha mambo yako Mkuu.Mimi Ni kakako,nikikuambia achana naye ni shemegi yako huelewi nini?
Kwahio na mimi wanawake wote humu ambao nawaota unaniambiaje?AMEKUWA AKIKUTOKEA NDOTONI.YEYE MWENYEWE.?
Vinafanya kazi kweli.Hivi viwanda sasa
Kumbe kuna umuhimu wa kuwa na ID nyingine?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yawezekana ni member wa siku zote kaamua kumfungukia kwa id nyingine, au ni fan wake huwa anamsoma tu kama guest, sasa kaamua kujiunga rasmi.
Kijana unatafuta matatizo,usije kusema sikukutahadharisha au kukuonya,huyu na paprika kaeni mbali we si uende kwa miss Chagga au Miss natafuta au lile li ndumbisa?Acha mambo yako Mkuu.
Labda umuache wewe
Badili profile pic yako.Mimi Ni kakako,nikikuambia achana naye ni shemegi yako huelewi nini?
Mkuu ninapenda ibaki hyo hyo lakini nakupa upendekeze unayoitaka wewe basi nitaweka ili nisikukwaze!Badili profile pic yako.
Acha hiyohioMkuu ninapenda ibaki hyo hyo lakini nakupa upendekeze unayoitaka wewe basi nitaweka ili nisikukwaze!
Asante nashukuru!Acha hiyohio
SawaAsante nashukuru!
Muelewe tu hyo binadam, ni binadam kama mm na ww mamaNimwishiwa pose mkuu sina la kusema, leo nimepatikana.