Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

Kwann umemfananisha na mgogo
Kwamba wanawake wakigogo ndo huwa wanafunguka juu ya hisia zao kwa wanaume au? Ungejazia nyama kidogo mkuu kuondoa maswali mengi. BTW hata mwanamke anahaki ya kupenda pia na kuelezea hisia zake juu ya yule anaempenda sema bas tu ilishazoeleka yy mpaka aanzwe.
Ahsante yellow eyes na huu ndio ujinga wetu, halafu ukimuona na mwenzio unaumiaaa. Mfyuuuu, siyawezi mimi
 
Back
Top Bottom