Nampenda sana Mhe,Samwel Sitta

Nafurahi kwamba unajua kwamba hujui.Mtu kama wewe ni rahisi sana kujua.
 
Not so fast...

Baada ya kuisikiliza hotuba yake jana, na kuuona mwitikio wa wananchi nimelazimika kufikiri upya....

Watu walikuwa wengi sana,lakini tofauti na maandamano ya CHADEMA,CCM walilazimika kuwabeba wafuasi wao kutoka kila wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…