Naleta posa kesho kukipambazuka tu Valentina. Very smart. Mtu hupimwa akiwa na furaha sana au hasira sana.Mahonda mpenzi naona unatumia nguvu kubwa kitu ambacho ni utani wa kawaida wa Jf...
Achana nao bwana,take it easy,try to relax. Labda kama hiyo picha ingekua yakwako halisi,ningeona kweli mleta uzi kadhamiria.
Usiwe mwepesi wa kukasirika na kutake serious vitu kama hivi. Unaharibu mood yako bure,usivipe vitu vidogo nafasi ya kufuta tabasamu lako wakati unauwezo wa kuvipotezea
BTW matani ya hapa Jf nadhani unayajua. Na huenda kweli kuna watu wanataka kukuharibia penzi lako kwa smart usiwape nafasi ya kutimiza azma yao kwa kupambana nao kwa kurushiana maneno ya hasira wewe focus na Mr wako,kua tulizo la moyo wake achana na hizi kelele za nje....
Ama kweli kuishi kwingi, kuona mengi.Hahha eti spanish... hahaha ndio maana ukaanzisha thread kqa id nyingine... ili upate sababu.
Acheni dramaa na movie kama kina uwoya
Pole sana mtakatifu.Dude!
It pain, but I forgive.
Aisee.... Mungu apitishe mbali...Mkuu matusi ulitukanwa yameniumiza sana hasa pale alipomgusa bi mkubwa kumbe hata hayupo duniani ndo maana mimi nitukane uwezavyo ila usimguse mama angu japo hayupo duniani... Daaah [emoji24][emoji24][emoji24]
Kiukweli hata mimi mpaka sasa sijaamini nachokisoma hapa...unajua kilichofanyika leo kimesababisha athari sana na kama mpo kwenye jokes hebu jirekebisheni... nijuavyo mimi hapa JF wengi hatujuani na ndo maana nina uwezo wa kumtania yoyote.. mfano mzuri miss chagga muda mwingi namwita baby.. mara mke ila nje na JF sijawahi hata kumuona!!!
kama kuna mengine hebu jaribu ku'fix nje na JF mnaharibu sana wakuu...!!!!
ni utoto na ushamba tu... mambo ya facebook yasiletwe humu bhana... kuna kila haja ya hawa wenzetu kutambua tofauti ya facebook na JF .... mahondaw na Smart911 hebu jaribuni kupevuka..!!!!Kiukweli hata mimi mpaka sasa sijaamini nachokisoma hapa...
Mtu anakasirika kwa kuwa mpenzi wake kaanzishiwa thread... yani kakasirika kiasi cha kucancel date...
Binti kapagawa kiasi cha kuachia matusi ya kutosha...
Mara mkasirikaji anaibuka kivingine kabisa... yani kama ishu ilikuwa ndogo, kwa namna navyomsoma.
Na mleta mada anapotea mazima!!
Very interesting!!
Nimeshashuhudia couple nyingi sana hapa JF. Wengine wameshaoana na wana familia zao. Ila hii nimeivulia kofia.
Ni kweli sikuwezi. Nlikuwa nakutania tu.Aah wapi babu mi huniwezi hata kidoncho
[emoji124] [emoji124] [emoji124]kweli wewe The Don ... yaan naanza kupata picha halisi sasa..!!!!
Ushauri kuntu...Smart911, naamini umekuwa sasa. Kama kweli unaenda kumvisha huyo mdada pete, umekuwa na pongezi.
One thing though, penzi lako lifanye private, najua penzi jipya lina raha yake lakini hivi mnavyoenda, you'll ruin everything. Huyo mkeo mtarajiwa lazima atongozwe, mengine utajua lakini mengine hutajua, ili kuepusha matatizo jaribu kuyafanya mapenzi yenu yawe yenu na sio public. Sio kazi rahisi ku-maintain mapenzi yaliyo public, uliza Beckham, Tiger woods etc watakuambia.
Kila la kheri katika maisha ya uchumba, hapo shetani ndio anaanza kazi, mtapata kila jaribu ili tu kuwatenganisha. Lakini ni nyie tu ndio wenye maamuzi ya mwisho.
Wekeni mahusiano yenu nje ya jf.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Behaviorist wewe huwezi mkera mtu humu!!! Hamna asiekujua kua wewe mchokozi [emoji23][emoji23]
Kwani hiyo pic aliyoweka ni wewe kweli tupia nyingine kama mbili tuone au mnatengeneza janja ya utapeli tuone kama wewe na mleta Uzi mna bifu kumbe ni janja ya biashara matangazo mana utapeli umekua mwingi sana mitandaoniHao wasengenyaji tu hao hawana lolote kutaka kuniharibia tu .
hahahhahahhHhHHaSikujua kuwa mahondaw ndiye mange kimabi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mahondaw hana sababu ya kufanya hayo yote, kwa faida ya nani... Akishafanya hivyo, whats next?Kwani hiyo pic aliyoweka ni wewe kweli tupia nyingine kama mbili tuone au mnatengeneza janja ya utapeli tuone kama wewe na mleta Uzi mna bifu kumbe ni janja ya biashara matangazo mana utapeli umekua mwingi sana mitandaoni
Salale, umekuwa miss chagga tangu lini mrembo?[emoji4] uwe na hela lakini