Kumbuka Mungu alivomuumba Adam na kisha kutoka katika ubavu akotea mke sio wake.Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
Safi sana mkuu[emoji106]Ushauri gani tena. Acheni mambo ya kitoto. Amua mwenyewe kama ulivyoamua mambo yote yaliyopita
Nikikwambia uachane nae utaniambia nampenda sana,nikikuambia uolewe nae utaniambia hutaki mwanaume mwenye mke,Ushauri nifanyaje ili niweze kuachana nae angali bado nampenda
Kwa sababu naona umepost si zaidi ya mara 43 na ushapata followers ndiyo nauliza ikiwa ni uzi huu ndo imewaleta karibu au walikuepo kabla ya uzi huu.Kwnn umeuliza hivy....ukinijib namm nitakujb
Achana na mtu Muongo...Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz