Nina mpenzi wangu ambae nampenda sana lakin kabla yangu alikua na mpenzi ambae walipendana sana mwanzon badae jamaa akawa haelewek na hapo ndipo nikawa nae lakin hawakuambiana kua wanaachana sasa jamaa kajirud na kazkuta text zangu fb kamaind na dem kanikataa kwake kisha akaja kunambia kila kitu.et hapo nfanyaje jaman nam ctaki kumpoteza
Nina wasiwasi sana na ujuzi wako katika ulimwengu wa mahaba. Inakuaje unampenda mwanamke ambaye hajaachana na bwana yake???
Huoni kama ulikua unafanywa Jogoo wa kuazima??
Hebu achana na huyo dada kwa afya ya moyo wako....
usimtishe bana , mapenzi ya cku hizi ni kama kamali hivi, awe mjanja tu atawin gem
Usimpunguzie comfidence mwenzio, ujuzi wa mahaba has got nothing to do with a woman's heart.Nina wasiwasi sana na ujuzi wako katika ulimwengu wa mahaba. Inakuaje unampenda mwanamke ambaye hajaachana na bwana yake???
Huoni kama ulikua unafanywa Jogoo wa kuazima??
Hebu achana na huyo dada kwa afya ya moyo wako....
Usimpunguzie comfidence mwenzio, ujuzi wa mahaba has got nothing to do with a woman's heart.
Mwaya kaka, huyo dada hakuwa over her X na pole kwani alikutumia ili ajaribu kumsahau, which happens all the time na kwa both wanaume na wanawake. Mshukuru Mungu na umove on, utapata mwingine.
Pole kwa Mdada kwani tabia za mtu hazinadiliki kirahisi; ataumizwa tena na atakutafuta na michozi, it has happen before trust me.
BTW watu8, wewe uwezo wako wa mahaba uko juu eeh? I assume hujawai achwa! LOL
Kamsemelezee kwa babako.
Ndo umeandika nini mi na gongo yangu kichwani ya xmas sijaelewa? Andika kidhungu basi!
Na evaluation yako ya upeo wa mtu is always right!Mara zote mimi huwa namshauri mtu kulingana na utashi na upeo alionao.
Hahaha, siwezi moja kwa moja kusema upo juu au lah, ila kwa wale niliowahi kuwapenda hawajawahi kujuta kuwa nami.
Heheh, sijawahi kuachwa rafiki....huwa tunaachana in good terms(sababu zisizo zuilika). Mapenzi ni kama urafiki, kunakudumu na vilevile kuna kutengana.
Na evaluation yako ya upeo wa mtu is always right!
Na ndio maana ukagundua bila shaka uwezo wa mwenzako kimahaba uko juu.
Na the fact kuwa hao G'friends zako hawajawahi kucomplain au hata kama wanakusifia ikatosha kuconclude kuwa uko juu.
Hongera sana bro!
wewe wala usiwe na presha bwana...hao confused ladies ndio wazuri sana...wewe la msingi nikukaa kimgegedo zaidi...mchpe tuu na enjoy the moment basiiii!!! hamna mapenzi hapo
kutumiwa na mwanamke huko kunaitwa "rebound" kwamba mwenye nacho akirudi manzi anamrudia na wewe unaachwaa..tafuta mwengine tushapitia sana hii kama ulikula mzigo bhasss mambo no mzuka kbs hapo wala usiwazeUsimpunguzie comfidence mwenzio, ujuzi wa mahaba has got nothing to do with a woman's heart.