Nampenda sana, jamani naomba ushauri

Lakini mkuu wewe hukupata ugonjwa wa moyo wala vidonda vya tumbo!!!
Jaman! Mtu hutengana hata na mzazi wake ikiwa anamletea madhara!

 

Hahahahahah nimefurahi sana story yako... haina tofauti na yangu.
 
angalia chanzo cha ugomvi,ukishajua chanzo,epuka chanzo hiko ili msiendelee kugombana
 
fanya kama anavotaka hamta gombana. ukijifanya mjuaji, mjanja, unamsaliti na kumdanganya na kuaribu mipangilio so ndio tatizo mwisho utajifunga kamba shingoni
 
Poleni sana. Mmekaa md mrefu sana. Vp unasita kumuoa? Labda anaona unamweka ama huna mwelekeo. Sina hakika ila angalia moyo wako unasemaje. Mpeane nafasi ya kutafakari. Hayo magonjwa si yatakuua kisa mapenzi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…