junior john edward
Member
- Jun 24, 2013
- 6
- 0
Watu wasipoendana kitabia ndio inavyokuwa hivyo...mmoja akiwa moto mwengine lazima awe maji kupooza moto sio mafuta kuongeza moto...kwahio lazima mmoja wenu apoe kikiwaka au utakufa kwa presha...umri wangu ni miaka zaidi ya 25 ni mkaz wa mby city. knamsichana nampenda sana kiasi kwamba sitamani msichana yeyote mwingine ktk dunia hii, lakin kinachoniumiza tangu nimekua naye hamna kipindi ambacho tumewahi kukaa kwa amani angalau wiki 2, ni malumbano wakat wote tena yasiyo na sababu ya msingi lakin anaonesha ananipenda sana tatizo cjui ni nini, hali ambayo imepelekea mimi kupata maradhi ya moyo na vidonda vya tumbo , kinachonishangaza tunashirikiana kwa kila hali na tuna kipindi kirefu sasa(miaka 6) nashindwa namna ya kutafuta amani kati yangu mimi na yeye, nampenda sana.
mkuu akimuacha akimuona anatoka na mwengine sio ndo moyo utasimama kabisa..LOL!!!!my God,yaani huo umri wako mdogo jamani!
..mpaka unaumwa!!?aah,kweli bora utumie akili sio moyo lol!
...ww ni bora uachane nae, utakufa hapo!
..ss nawaza ht kumuacha utaweza kweli?
Pole sana ndugu yangu! lakini mbona mmekaa mda mrefu hivyo kwenye uchumba, jee mna lengo la kuoana, jee mna watoto?? Mimi nahusisha ugomvi wenu huo na wivu alionao mwenza wako!! kama utafuatilia kwa makini utagundua hilo! jaribu kumsikiliza vile anavyokwambia, labda hapendi uwe karibu na wanawake wengine, hasa wale anaowatilia mashaka!!umri wangu ni miaka zaidi ya 25 ni mkaz wa mby city. knamsichana nampenda sana kiasi kwamba sitamani msichana yeyote mwingine ktk dunia hii, lakin kinachoniumiza tangu nimekua naye hamna kipindi ambacho tumewahi kukaa kwa amani angalau wiki 2, ni malumbano wakat wote tena yasiyo na sababu ya msingi lakin anaonesha ananipenda sana tatizo cjui ni nini, hali ambayo imepelekea mimi kupata maradhi ya moyo na vidonda vya tumbo , kinachonishangaza tunashirikiana kwa kila hali na tuna kipindi kirefu sasa(miaka 6) nashindwa namna ya kutafuta amani kati yangu mimi na yeye, nampenda sana.
umri wangu ni miaka zaidi ya 25 ni mkaz wa mby city. knamsichana nampenda sana kiasi kwamba sitamani msichana yeyote mwingine ktk dunia hii, lakin kinachoniumiza tangu nimekua naye hamna kipindi ambacho tumewahi kukaa kwa amani angalau wiki 2, ni malumbano wakat wote tena yasiyo na sababu ya msingi lakin anaonesha ananipenda sana tatizo cjui ni nini, hali ambayo imepelekea mimi kupata maradhi ya moyo na vidonda vya tumbo , kinachonishangaza tunashirikiana kwa kila hali na tuna kipindi kirefu sasa(miaka 6) nashindwa namna ya kutafuta amani kati yangu mimi na yeye, nampenda sana.