Nampenda rafiki wa demu wangu

Nampenda rafiki wa demu wangu

Hiyo mkuu inaitwa TAMAA u have no excuse ya kulikwepa hilo neno.

Its nomal kwa wanaume kutamanitamani hasa msichana unaemuona kila siku. Dont full uaself tht you love tht girl.

Nakuhakikishia, hata ukimuacha huyo girlfrnd wako ukaamua kuwa na huyo rafiki yake, lazima itafka wakati utamtaka mwingine.

Acha tamaa na utulie na huyo ikiwezekana oa kabisa. Ukipuuza its up to you.

sio tamaa..... sa nyingine inatokea kweli unakuta unampenda kuliko mpenzi wako, mbaya zaidi na ye kaishasimuliwa na rafiki yake mambo yako so mnakua mnaangaliana kiwiziwizi
 
ngoja nirudi jukwaa la siasa
maana humu sasa ni comedy
 
Mimi nakuona kama mjinga Fulani na si MTU wa kuaminika na huna urafiki was kweli ni rafiki mnafiki ikiwa kweli wewe ni rafiki mzuri huwezi kumsaliti rafiki yako rafiki zaidi ya ndugu acha ujinga wako
 
kama bado hujaoa mwambie huyo shemejio hisia zako mana ndio moyo wako ulikoangukia. usiogope kummuza mchumba wako kwani maumivu ni sehemu ya maisha ya binadamu
 
Duuhh, miaka 3 unateseka! Ndio maana BP inazidi kutusumbua. Kuna vitu ambayo vimekuvutia kwa huyo dada. Mfano sauti yake, pozi zake, maongezi yake, uvaaji wake au hata 'figure' yake . Jaribu kuangalia kama vitu hivyo GF wako anavyo kama hana, jitahidi kumshauri aviongeze.
 
duuhh, miaka 3 unateseka! Ndio maana bp inazidi kutusumbua. Kuna vitu ambayo vimekuvutia kwa huyo dada. Mfano sauti yake, pozi zake, maongezi yake, uvaaji wake au hata 'figure' yake . Jaribu kuangalia kama vitu hivyo gf wako anavyo kama hana, jitahidi kumshauri aviongeze.

atumie za wachina?
 
Mchunguze kabla haujaruka mko.jo na kukanyaga ma.vi
 
Kwanza hujui maana ya neno "Penda". Weye unamtaka tuuu umalize hamu yako. Nakuhakikishia kuwa hutamlamba mara 2 kabla hamu haijesha na utamwona si kitu tena. Acha kujifedhehesha, waache wawili hao wafurahi ka marafiki usiuvunje urafiki wao kwa matamaa yako mabaya.
Ati unataka kufa, kufa tunywe uji. Mwombe huyo mpenzi wako amkuletee
 
Sijui kama naye ana hisia kwako. Wakati mwingine hutokea rafiki wa demu wako anaweza kuwa na hisia kwako. Na hii hutokea kutokana na simulizi za demu wako juu yako kwa rafiki yake. Ni kosa ambalo nimegundua wanawake wengi hulifanya kutoa ABCDs za partner wao kuhusu mambo wanayofanyiwa. Naomba akina dada hii muache maana rafiki zenu nao hujukuta wanatamani mnachokipata. Na hupelekea kuwa easy kwa boyfriends wenu.
 
sio yule aliyoomba ushauri hapa jamvin kuwa anampenda shemeji yake
 
Nikwambie kitu, ukimchukua huyo rafiki wa mpenzi wako, badae utamchukua tena rafiki yake na huyo unayemtaka sasa hivi. BADILI TABIA.
 
Back
Top Bottom