Nampenda mwanaume anayejiongeza

Nampenda mwanaume anayejiongeza

Umenena haswa ila kama hama pesa ni kumsalia nae aweze kuchuma akiwa mpenzi mwema na anakuheshimu n.k.

Tabu yao wengine hata wakiwa hawana pesa hawajui kumkamata mwanamke kwenye maisha ya mapenzi. Nao wamejaa tamaa na uongo mtupu...baada ya kuachika ndio wanakaa na kujuta na kulia moyoni hata neno hawawezi kutamka. Pole zao
Yes, wadada wengi huwa wanawasitiri. Utakuta unajitumaaa kwelii aisee, kisha inafika siku unaskia kamzalisha denti wa primary
 
Ungewataja kwa majina hao zero kwa kila kitu?!ili nduguzo wa kike wajiepushe nao!
 
Yaani fanya tu kama unalipia vitu chakavu. Usinipe cash twende shopping nunua ata viberiti, mafuta ya kujipaka vaseline, nunua ata gesi basi yaani uoneshe unajali kwa kiwango chako.
Mfano nkakupa hela ukanunue all that still ntakua disqualified au shart lazma niwepo??
 
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Acha ushamba we bibi
 
Mfano nkakupa hela ukanunue all that still ntakua disqualified au shart lazma niwepo??
Kuondoa dhana ya kunilipa, ni vyema ukanogesha mapenzi yetu wakati mwingine, sio lazima siku hiyo hiyo tuliofurahia vikojoleo kukutana kwa upendo ndio uninunulie vitu, no! Unaweza jipanga siku tofauti ukaniuliza honey utapenda mwezi huu tuongeze nini hapa ndani kwako, au unapenda tubadilishe nini? About finance i will support you my love!!!
 
Ha ha ha ha hapo tu ndio tunapowapendea wenzetu dah linapokuja swal la finance mnakua na maneno mazur sana.... "et kitu gan tuongeze mpz Wangu" nmecheka sana
 
Kuondoa dhana ya kunilipa, ni vyema ukanogesha mapenzi yetu wakati mwingine, sio lazima siku hiyo hiyo tuliofurahia vikojoleo kukutana kwa upendo ndio uninunulie vitu, no! Unaweza jipanga siku tofauti ukaniuliza honey utapenda mwezi huu tuongeze nini hapa ndani kwako, au unapenda tubadilishe nini? About finance i will support you my love!!!
Ha ha ha ha hapo tu ndio tunapowapendea wenzetu dah linapokuja swal la finance mnakua na maneno mazur sana.... "et kitu gan tuongeze mpz Wangu" nmecheka sana but sio mbaya kila mtu ana mtizamo wake.....
 
Back
Top Bottom