Nampenda mwanamke mpole

[emoji23][emoji23][emoji23].. hawajuagi tu..raha ya anayekugonbeza ww unakua kimyaaa..yan mtu akipita road ajue unajigombeza mwenyew..inainekana unapenda kubwata bwata ndo maana unatafutq mpole wa kumuonea[emoji23]kila la heri
Mwanamke mpole si wakumwonea Bali wakufarahia naye maisha mpaka kifo kipige filimbi ya full time,Mimi sipendi ukorofi wala sijui huwa unafaida ipi
 
aiseeee....... basi na ww uwe mkali........ si unajua like charges repels?
 
Wanawake wapole ni viburi...mi napenda mwanamke mkorofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…