Nampenda mwanamke mpole

Sasa sisi ndio wapole tulobaki, otea wengine wana hali gani!!!
 
Mi sipendagi hao wakorofi maana hata majirani wakipita karibu na nyumba yenu wanajua bunge limehamia hapo
😂😂😂.. hawajuagi tu..raha ya anayekugonbeza ww unakua kimyaaa..yan mtu akipita road ajue unajigombeza mwenyew..inainekana unapenda kubwata bwata ndo maana unatafutq mpole wa kumuonea😂kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…