Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa hiyo uwa unaonewa kisa upole wako? I wish nikuone ulivyo kapole
Anayekuonea uyo hafai kabisa na uwe unaniambia ili niwachape waacheNdio..
Anayekuonea uyo hafai kabisa na uwe unaniambia ili niwachape waache
huwezi nielewa umenichekeshajeπππyan nimejikuta naiweka simu mezani dah..aiseeMwanamke tu kama wewe
ππππππππππ·Ndiyo aina ya mwanamke mpole unayemtaka huyo?
Mwambie ajiweke smart haitaondoa upole wake.
ππππππππππ·[/QUOT
π€π€au ww ni mbabe..unataka unalowaza ww tu ndo mke afanye htaki challenges.. thts y unaopt kutafuta wapole wakimyaa.. ila kuwa makini na hao wakimya hua kama wana viburi grade 1..
Mm hapa mporee hatarHabari wakuu
Katika ulimwengu huu wa karne ya 21,wanawake wengi wameharibiwa sana kisaikolojia,kitabia,mwenendo na hata hulka zao katika nyanja tofauti tofauti,hii hupelekea mwanaume kupata wakati mgumu sana wa kufanya absolute selection hata kabla haja mfata mrembo Huyo na kumwambia hisia zake,wanawake wamekuwa wakibadilika day to day kwa kadri walimu wao wa television,mass media na utandawazi kwa ujumla wanavyo washape,ile mentality ya mwanamke kuishi natural imekuwa absurd na hatimaye artificial life style,copy and paste mechanism imewateka kila idara,staki kusema how wanavyokuwa kila great thinkers hunielewa nachomaanisha,in short napenda nimpate mwanamke mpole,smart kichwani,natural na mwenye hofu ya Mungu,japo najua itagharimu sana akili na muda kumpata.Na siku nikimpata basi katika maisha yangu nitakuwa nimeziba mwanya wa asilimia45 ya ndoto zangu.Kiss to all CALM LADIES BE BLESSED.
.Kiss to all CALM LADIES BE BLESSED.
ππ JamaniNdiyo aina ya mwanamke mpole unayemtaka huyo?
Mwambie ajiweke smart haitaondoa upole wake.
Wapole tumebaki mimi, Heaven Sent na manengelo tu.
Huwezi kuonewa kwani upole unautafsiri vipi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi jaman za bima sio nzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa ulowataja hakuna mpole... tena hapa hatarishi ni my dota wako[emoji23][emoji23][emoji23].... ! ila mm sipo ktk kundi la wanawake wakorofi.. sijajua nipo kundi gani..ila upole sifit..maana sipend kuonewa kbs
Heaven yupo hajazeeka kweli??Wapole tumebaki mimi, Heaven Sent na manengelo tu.
Unasubiri nn, changamkia fursa hiyo.Hahaa mi nna vigezo vyote tena ni zaidi ya mpolee
Hadi watu wananiogopa