Nampenda mwanamke mpole

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Habari wakuu
Katika ulimwengu huu wa karne ya 21,wanawake wengi wameharibiwa sana kisaikolojia,kitabia,mwenendo na hata hulka zao katika nyanja tofauti tofauti,hii hupelekea mwanaume kupata wakati mgumu sana wa kufanya absolute selection hata kabla haja mfata mrembo Huyo na kumwambia hisia zake,wanawake wamekuwa wakibadilika day to day kwa kadri walimu wao wa television,mass media na utandawazi kwa ujumla wanavyo washape,ile mentality ya mwanamke kuishi natural imekuwa absurd na hatimaye artificial life style,copy and paste mechanism imewateka kila idara,staki kusema how wanavyokuwa kila great thinkers hunielewa nachomaanisha,in short napenda nimpate mwanamke mpole,smart kichwani,natural na mwenye hofu ya Mungu,japo najua itagharimu sana akili na muda kumpata.Na siku nikimpata basi katika maisha yangu nitakuwa nimeziba mwanya wa asilimia45 ya ndoto zangu.Kiss to all CALM LADIES BE BLESSED.
 

Attachments

  • IMG_20181120_150801_157.jpeg
    25.4 KB · Views: 71
huo mwanya ziba na kipande cha mkate tuu hakuna namna.
 

Kwahiyo huyo kwenye picha ndio mpole..!?

Atakua na papuchi yenye mashavu makubwa.. Tafadhali usiniulize kwanini..
 
Asante Mungu kwa kusikia maombi yangu ,vijana wenzangu tulie muombe Mungu awape mke mwema
 
Mtoa uzi, kwa unavyoona huyo kwenye picha anaonekana kuwa ni mpole kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…