Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,569
Kikubwa ni kujaribu kufunguka natambua ni ngumu kwako mtoto wa kike ila jaribu kutengeneza mazingira ya utani wewe na mumeo out of sex maybe kuhusu maisha, the way anavyokula,anavyoongea nk!
Hiyo itamjengea picha kuwa ww n mtani wake na faraja yake so mda unavyoenda atazoea utani!!
Sasa utamtania kuhusu ile kitu "eee baba changamka wasije kukupigia buree" huku unacheka alafu unamwambia fanya hivi na hivi the way you like.
Mpenzi mzuri ni yule mtani wako u-serious saaana ndo unaharibu ndoa✖