Nampenda Mume Wangu Lakini ananitenda

Nampenda Mume Wangu Lakini ananitenda

ni mapito tu uwe mvumilivu yatapita tu imarisha nyumba yako coz ukiachana naye watoto wako watapata shida kumbuka hakuna chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho
ipo sku atajirudi omba sana Mungu atakusaidia
 
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea Uongo Kwawazaz Wake Ili Apate Sababu Japo Wakwe Wananijua Vizuri Kitabia, Nawanampinga Maana Wanamjua Tabia Yake
Dah..usiumie peke yako...Ondoka na simu na simu yake...Kisha mpigie mama yake mwambie mtoto wake wa kiume amefariki...ili naye aumie kidogo kwa kutomlea mwanaye kwa maadili----by R MUGABE😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom