Nampenda Mume Wangu Lakini ananitenda

Nampenda Mume Wangu Lakini ananitenda

cloudear

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
76
Reaction score
59
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea Uongo Kwawazaz Wake Ili Apate Sababu Japo Wakwe Wananijua Vizuri Kitabia, Nawanampinga Maana Wanamjua Tabia Yake
 
pole mvumilie labda mimba ndo inafanya mgombane
 
Basi kama unampenda mumeo endelea kuvumilia hata njia haijanyooka moja kwa moja nayo pia ina kona, milima, na mabonde endelea kumpenda iposiku atakuja kujua samani na upendo wako kwake, na pia muombe tu mungu atakusaidia katika hilo janga unalopitia ni hayo tu!!
 
Kwel. Lkn ikizid kona ni bora usimame kwanza.. Aende nyumban akalee mimba huenda ndo sababu...
 
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea Uongo Kwawazaz Wake Ili Apate Sababu Japo Wakwe Wananijua Vizuri Kitabia, Nawanampinga Maana Wanamjua Tabia Yake

Hapo ni sala tu mamanguu hakuna kingine! Piga magoti sali funga soma biblia mwanzo mwisho! Kama ndoa yako ilifungwa kwa misingi ya Mungu itarudiii
 
Asiye kupenda achana nae. Unajikomba komba kitu gani. Mke/mume sio msahafu au biblia. Mtu akujali, anakutenda, hakuheshimu, sio mwaminifu upo tu?? Ngoja akuletee ukimwi ndio utajua habari ya kukohaa na kuharisha kama ngisi.
 
ndiyo maana kitu ndoa loh... bado natafakari duh..

cc: wamba
 
Last edited by a moderator:
nenda kajifungue kwanza maana usije mpa mtoto athari ukijifungua
 
Concentrate on your pregnancy na jiepushe na stress. Mtoto akichangamka you need to sit down katika kikao na wazazi.
 
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea Uongo Kwawazaz Wake Ili Apate Sababu Japo Wakwe Wananijua Vizuri Kitabia, Nawanampinga Maana Wanamjua Tabia Yake

Pole kwa matatizo hayo...labda nikuulize kidogo. migogoro ya nyuma mlikuwa mnaitatuaje? mlikwenda kwa wasimamizi wa ndoa, Padre/sheikh aliewafungisha ndoa, wazazi wa pande zote mbili, au marafiki zenu..
Nina imani kama miongoni mwa hao nimewataja mlikuwa mnamconsult kwa previous migogoro basi nakushauri ufuate utaratibu huo huo....
Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom