Nampenda mke wangu

Nampenda mke wangu

Haha mkuu wa jukwaani mbona unawakimbia!!?
hahh jamii forum inanishinda kitu kimoja mkuu

tatizo hzo nem zao sasa najua wote wanaume mkuu na sina utaalamu wa kugundua yupi mwari yupo mzee na yupi saizi yangu ..

naweza chagua bibi nikaja juta
 
hahh jamii forum inanishinda kitu kimoja mkuu

tatizo hzo nem zao sasa najua wote wanaume mkuu na sina utaalamu wa kugundua yupi mwari yupo mzee na yupi saizi yangu ..

naweza chagua bibi nikaja juta
Hahahaahaha wapo bwana, ukiwa makini unawajua tuu. Ila kweli unaweza kulilamba galasa haha achana nao tuu.
Hiki ni kichaka
 
Back
Top Bottom