Nampenda mke wangu, lakini huu ndiyo ujumbe wake unaoniumiza

Hahahaaa!!!!
Karibu uununue,lakini ukumbuke kuwa shemeji analalamikia jamaa yangu kuwa so mtu wa kumjali,wala hampi attention mke wake,na hicho ndicho kilichopelekea mke kunisaliti mumewe!
Hapo huoni kuwa jamaa naye amechangia kufanya mke asaliti ndoa!??
Sio kweli ....mke mwenye kujielewa alipaswa kutafuta mbinu yakumleta mme wake karibu.....hata ingekua mm kama kila nikirudi home mke hana bashasha na mm ndo kwanza ananiletea matatizo mengi na stress kibao nakaaje home sasa sibora nichelewe tu huko job au nipigie bar nipige Vyombo home nageuka usiku tu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Let her go... Mwache aende....
Naomba mtazamo wako,ili kushauri kwa basis ya fair ground,utetezi wa mke kuwa jamaa ha-play part yake kama mwanaume,(he is busy doing his own businesses pasipo kumjali wala kumpa nafasi mkewe) na kupelekea kusaliti ndoa,don't you see kwamba mke alikuwa na reasonable ground kufikia hatua ya kusaliti!?
 
Yaaani aliwe nje na bado anaongea kwa nyodo kiasi hicho ???? I wish I could be IGP. Yaaani ingekuwa ni mimi tungekuwa tunaongea mengine...

Na ndoa ingeishia hapo hapo hakuna na negotiations wala cha mdhamini wa ndoa .
 
Ishu za mahusiano ni ngumu sana... Na kwenye grounds kama hizo inafika wakati ni ngumu kumlaumu mke kwakuwa kuna baadhi yetu wanaume hudhani ukishamlisha vizuri mke na mahitaji mengine lakini huna nafasi walau ya kumsikiliza ni bonge moja la mistake... Hizo ashiki atazipeleka wapi? Upweke je?
 
Mapenzi upofu,nimeleta hapa ili kujifunza zaidi,(na ni kwa ridhaa yake,kuleta hii issue hapa)
Sijataka kumshauri kuendelea au kubaki na mkewe,kwani mwisho wa siku atafanya uamuzi yeye,maana so unajua hata mambo!?
Mkuu umefanya ustaarabu mkubwa sana. Watu walio kwenye mahusiano wakigombana usiwashauri kabisa. Cha msingi we mwambie jamaa apite humu ajisomee comments then atajiongeza mwenyewe.

Nilishawahi kumshauri jamaa yangu aligombana na demu wake kilichitokea nilijisikia aibu sana.
 
Hapo hakuna mke Ila ikiwezekana jamaa akubali yaishe. Mwanamke kachapwa nje na bado ana majibu ya dharau chamsingi jamaa. Na Kwa hayo majibu hataacha kuchapwa nje huyo demu anajiamini mno
Kwanza huyo mke mwenyewe anaonekana kuto kumpenda jamaa. Kitendo cha kusema wanawake WaPo wengi lkn jamaa anashindwa kujiongeza isee.
Piga chini huyo isee, Anza a fresh life.
 
Yaaani aliwe nje na bado anaongea kwa nyodo kiasi hicho ???? I wish I could be IGP. Yaaani ingekuwa ni mimi tungekuwa tunaongea mengine...

Na ndoa ingeishia hapo hapo hakuna na negotiations wala cha mdhamini wa ndoa .
Punguza hasira mkuu,ubinadamu una mengi!!!
 
Mkuu umefanya ustaarabu mkubwa sana. Watu walio kwenye mahusiano wakigombana usiwashauri kabisa. Cha msingi we mwambie jamaa apite humu ajisomee comments then atajiongeza mwenyewe.

Nilishawahi kumshauri jamaa yangu aligombana na demu wake kilichitokea nilijisikia aibu sana.
Pole sana kwa yaliyokukuta!
 
Mwanaume kutoa siri za mkeo nje ni ujinga!

hii ni aibu kwako kila mwanajamii ajue kwamba mkeo katombwa huko na bado unaendelea nae, hapana kwa kweli hio ni zaidi ya fedheha mkuu
kosa ni kuendelea kuwa nae! ila kuiambia jamii hata mie nasapoti! mwanamke mjinga huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!
jamii ikijua hata mkiachana mwanamke hawezi kukusema vibaya! atahama na mji
 
MKE NIMEMPENDA!!

SIO KWA KUSALITI!!
BUT AMESIMAMIA NAFASI YAKE KIBINADAMU!!

YES,UNAPATA FAIDA GANI KUSEMA MKEO DID THIS DID THAT!!
VERY BODLY!!
UNAWEZA TUENDELEE ,HUWEZI FANYA MAAMUZI!!

it's one thing,kuwa cheated on
It's quite something else kutizama zaidi ya wigo wa hasira yako!!

UKISHASEMA?
HALAFU?
UNLESS UMEAMUA KUMUACHA,BUT NEVER SPEAK ILL OF YOUR SPOUSE KWA WATU WATAKAOKUULIZA KESHO KWANINI HUJAMUACHA TOKA ULIVYOTUSIMULIA KUWA ALIKUFANYIA HIVI!!

ukibisha,utakuwa umeamua tu kunisaidia kusubiri kukuche!!
Umetazama hili jambo katika mawanda madogo mno, tena umekuwa bias kwa kutazama image ya mwanamke bila kuzingatia maumivu ya mwanaume (Nahisi utakuwa feminist wewe).

Kwanza mwanaume hajakiri kuwaeleza majirani hivyo hawezi kuhukumiwa kwa kosa (ikiwa kufanya hivyo ni kosa) ambalo hajafanya hadi pale ushahidi usio na shaka utakapo patikana.

Pia naamini asilimia zaidi ya tisini ya watu wote waliojiua kwa sababu zozote zile, endapo wangepata hata dakika moja ya kuzungumza kuhusu maumivu yao huenda wangefanya maamuzi mengine tofauti na kujiua.

Kuongea ni namna yenye nguvu sana ya kupunguza msongo wa mawazo unaoweza kusababisha mtu afanye maamuzi mabaya. Mtu anapokuwa katika depression anahitaji faraja, wengine huipata faraja hiyo kwa kuzungumza na hii husaidia sana katika kufanya wasichukue maamuzi mabaya. Kwa hiyo ikiwa kweli aliongea, kabla hatujajadiri kama ameongea kwa watu sahihi au la, tuone Kuongea huko ndiko kumempa nguvu ya kutochukua maamuzi ya hivyo zaidi.

Huyo mwanamke hafai. Hakuna sababu yoyote inayoweza ku justify mwanamke kusuguliwa na mwanaume mwingine huku akiwa bado yupo ndani ya ndoa. Achika kwanza kisha endelea kusugulishwa na hao wengine. Mwanamke hapo kazingua. Halafu ana kiburi sana, ni ważi hana adabu, hana upendo, hana akili, sio mstaarabu, ni mshenzi, ni mtu wa hovyo, ni mjinga, ni mbulumundu, ni fisadi, kilaza, katili kwa kuzingatia hilo jibu alilotoa.

Inaonekana mwanaume naye ni mtumwa wa mapenzi. Hawezekani Kuja kuomba ushauri kwa jambo ambalo hadi sasa alitakiwa kuwa ameishafanya maamuzi ya kumuacha huyo hayawani. Kiburi cha hiyo mwanamke kinatokana na kuhisi anapendwa sana. Sasa akiachwa ahakikishe anaachika kweli.
 
Mending a broken heart takes long, huyo mwanamke pamoja na usaliti wake bado hawezi kujishusha, anachoona yeye ni ubaya kutangazwa kuwa alimsaliti mumewe, sio ubaya wa kusaliti.

Nampa pole jamaa, baadhi ya wake zetu wamekuwa maharage ya wapi sijui. Hakujali, hakupi attention, wewe unaona solution ni kusaliti, vipi kuhusu kukaa nae chini ukaongea nae. Personally I don't think that's the reason, she wanted to cheat, she planned and did it.

Angempiga risasi au kumchoma visu tungelaumu kwa nini hakuongea apunguze stress, ameongea tunalaumu kwa nini asinyamaze. Mahusiano ya sasa hivi ukikaa kimya sana you'll die of heart diseases.
 
ningemuacha kabisa!
Kosa kubwa kwa mke ambalo halivumiliki, haliambiliki hata kwa wanajamii ni hili la kuchapiwa mke tena kwa changamoto ndogo tu "mawasiliano"

hakuna muke hapo si unaona hata majibu yake shombo tupu
Daaah! Huyo jike jasiri mno na anaweza kuua kabisa ili awe huru kukunjwa,lipo wazi mno kuwa inauma sana kufumuliwa mke. Hapo ndoa ilishakufa kitambo sana kama VP jamaa aandae talaka mana mke hana utayari hata wa kuomba msamaha
 
Umetazama hili jambo katika mawanda madogo mno, tena umekuwa bias kwa kutazama image ya mwanamke bila kuzingatia maumivu ya mwanaume (Nahisi utakuwa feminist wewe).

Kwanza mwanaume hajakiri kuwaeleza majirani hivyo hawezi kuhukumiwa kwa kosa (ikiwa kufanya hivyo ni kosa) ambalo hajafanya hadi pale ushahidi usio na shaka utakapo patikana.

Pia naamini asilimia zaidi ya tisini ya watu wote waliojiua kwa sababu zozote zile, endapo wangepata hata dakika moja ya kuzungumza kuhusu maumivu yao huenda wangefanya maamuzi mengine tofauti na kujiua.

Kuongea ni namna yenye nguvu sana ya kupunguza msongo wa mawazo unaoweza kusababisha mtu afanye maamuzi mabaya. Mtu anapokuwa katika depression anahitaji faraja, wengine huipata faraja hiyo kwa kuzungumza na hii husaidia sana katika kufanya wasichukue maamuzi mabaya. Kwa hiyo ikiwa kweli aliongea, kabla hatujajadiri kama ameongea kwa watu sahihi au la, tuone Kuongea huko ndiko kumempa nguvu ya kutochukua maamuzi ya hivyo zaidi.

Huyo mwanamke hafai. Hakuna sababu yoyote inayoweza ku justify mwanamke kusuguliwa na mwanaume mwingine huku akiwa bado yupo ndani ya ndoa. Achika kwanza kisha endelea kusugulishwa na hao wengine. Mwanamke hapo kazingua. Halafu ana kiburi sana, ni ważi hana adabu, hana upendo, hana akili, sio mstaarabu, ni mshenzi, ni mtu wa hovyo, ni mjinga, ni mbulumundu, ni fisadi, kilaza, katili kwa kuzingatia hilo jibu alilotoa.

Inaonekana mwanaume naye ni mtumwa wa mapenzi. Hawezekani Kuja kuomba ushauri kwa jambo ambalo hadi sasa alitakiwa kuwa ameishafanya maamuzi ya kumuacha huyo hayawani. Kiburi cha hiyo mwanamke kinatokana na kuhisi anapendwa sana. Sasa akiachwa ahakikishe anaachika kweli.
Mkuu umetumia maneno makali sana!!
Punguza hasira!
 
Ikishafikia mwanamke anakujibu dharau namna hiyo tena kwa ujasiri .kaka jiondokee tuu wala usimwambie, jitenge kimya kimya maana mpaka hapo ndoa imekufa

Tena ndoa imekufa kibudu. Kama mim ningemwacha lakini baada ya nami kumkomesha kwanza, aisee si kwa dharau hizo. Kwanza unakuwa mpole kama vile jinga huku ukisubiri ajae kingi, baada ya hapo unamfyatua mtu then unasepa na ndoa itakuwa imefika kwenye dead end.
 
Naomba mtazamo wako,ili kushauri kwa basis ya fair ground,utetezi wa mke kuwa jamaa ha-play part yake kama mwanaume,(he is busy doing his own businesses pasipo kumjali wala kumpa nafasi mkewe) na kupelekea kusaliti ndoa,don't you see kwamba mke alikuwa na reasonable ground kufikia hatua ya kusaliti!?

Mkuu kwenye ndoa there is no reasonable ground za yeyote yule kusaliti. Hapo jamaa amlipe kisasi then amwache asepe
 
Daaah! Huyo jike jasiri mno na anaweza kuua kabisa ili awe huru kukunjwa,lipo wazi mno kuwa inauma sana kufumuliwa mke. Hapo ndoa ilishakufa kitambo sana kama VP jamaa aandae talaka mana mke hana utayari hata wa kuomba msamaha
Alimuomba jamaa msamaha na kuomba sana asamehewe!
 
Back
Top Bottom