Nana brain JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 488 Reaction score 367 Jan 13, 2017 #61 Picha lako halitabiriki. Hatma yake itajulikana pale utakapovunja uchumba wa mjeda na wakati unamke ndani, either utapigwa risasi! Au utapoteza wanawake wote
Picha lako halitabiriki. Hatma yake itajulikana pale utakapovunja uchumba wa mjeda na wakati unamke ndani, either utapigwa risasi! Au utapoteza wanawake wote
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jan 14, 2017 #62 cacico said: We kaka unachokitafuta utakipata. .. umuache mke sababu ya mistress? ? Asprin usijeniacha hubby wangu Click to expand... Ntaanzia wapi kwa mfano??? Hivi ntakuwa mjinga kiasi gani niuache utamu wako??? sithubutu wallah
cacico said: We kaka unachokitafuta utakipata. .. umuache mke sababu ya mistress? ? Asprin usijeniacha hubby wangu Click to expand... Ntaanzia wapi kwa mfano??? Hivi ntakuwa mjinga kiasi gani niuache utamu wako??? sithubutu wallah