Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Mwaka mzima ulikuwa wap kuuliza?
 
Kaka hilo swali nenda kawaulize ma-MP pale Lugalo
 
Chakuiba daima kitamu,ebu muache aolewe mwenzio apate wake umekula mara nyingi mpe mwenzio achukue jumla..
 
Thanks
 
Ikiwa wataka kufuata mkeo kwa yeye jee ukija ukipendwa na mwengine sio utamuacha na huyo suali langu hilo
 
Hivi huku "kupendana" kuna maana gani?

Una mke na ana mahusiano na mjeda, bado unatumia neno "kupendana"?
 
Nyakati kama hizi si za kutishana na wala si kufichana pia,wanajeshi wanaeleweka sana.Huo ndo uhalisia na wala si vitisho.
 
Nyakati kama hizi si za kutishana na wala si kufichana pia,wanajeshi wanaeleweka sana.Huo ndo uhalisia na wala si vitisho.
Umemuelewa lakini ,anadai ana mke wake na bado amependana na demu wa mjeda hauoni anambeep devil
 
Acha uzinzi ndugu yangu, hakuna mwanamke asie mtam hata mkeo ni mtam zaidi yake, huyo mchepuko sio mwamimifu amemtenda huyo mjeda wake sembuse ww. Achana nae nenda kamuonyeshe huo upendo mkeo
 
Hivi wanaume hamtoshekagi eeee. Mana una mkeo bado unatamani mchumba wa mwenzio. Iko siku na mkeo naye atapata ampendaye hapo ndio utakapojua utamu wa kula vya wenzako.
 
Umemuelewa lakini ,anadai ana mke wake na bado amependana na demu wa mjeda hauoni anambeep devil
Me nimemuelewa,nilichomaanisha ni kuwa pamoja na huo ujinga anaotaka kuufanya ajue pia hatakuwa salama na kuna asilimia kubwa akafanywa anachomfanya mke wa mjeda.
 
We boya si ushasema una mke....sasa kwa nini asiolewe naye basi ni boya......me ningekula kimya kimya tu wife asigundue
 
We na huyo demu wako wote hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…