Yutong from Beijing, usitake tuzirushe ngumi.Mimi nimemwandikia barua jana, nikimwelezea kuwa mimi ni mzima wa afya njema, hofu na mashaka ni kwake yeye aliye mbali na upeo wa macho yangu.Disco la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa moyo wangu umekuzimikia kama mshumaa katikati ya jangwa.Sasa cha kustaajabisha naona na wewe umeanza kummezea mate, patachimbika.