nampenda lakini...

reina

Member
Aug 11, 2011
52
8
nimetokea kumpenda sana kijana mmoja hivi kiasi cha kutamani awe mume wangu! ana qualities zote ninazozitaka na ameshika dini pia. tatizo ni kwamba nimekuwa nikimpenda muda mrefu sana lakini kutokana na tamaduni nikashindwa kumweleza. nikapata tetesi kwamba ana mpenzi tayari lakini sikuamini maana alikua ana dalili za kunipenda pia. nilipomuuliza akaniambia ndio anaye mpenzi japokuwa ananipenda lakini hawezi kumuacha maana sio playboy.naumia sana kumpenda huyu kiumbe ambae sina uhakika kama atakuja awe wangu. sitamani mwanaume yeyote ila yeye tu. na yeye ananipenda pia lakini ndio hivyo ameshaingia kwenye relationship. nina mtu mwingine ananipenda sana lakini sina feelings zozote juu yake japokua ana nia ya kunioa. nifanyeje jamani??? naogopa kuolewa na nisiyempenda na pia naogopa kuendelea kumsubiri huyo ninaempenda maana sina uhakika kama atakuja kuwa wangu.
 
Jipe tu muda na huyo anae kupenda, utamgundua na maybe you will fall for him. Huyo mngine achana nae. Kweli anaonekana ni mtu mzuri sababu on top of hizo sifa ulizo taja anaonekana kua serious and commited to his relation. Heshimu chaguo lake, move on. Kwani una miaka ngapi? Is marriage that important at this point?
 
Don't get involved with the unknown equations which would send a human being to mars in 2099. Simple, follow your heart and pray God to guide you.
 
huyo anayenipenda nimemfahamu huu mwaka wa pili sasa lakini feelings bado zipo kwingine. umri umeenda nahitaji kuolewa soon..
 
Aisay wanawake mnajua kupenda, yani ukisha penda....ndo huyo huyo poleni sana.

Mimi hata nikipenda vipi, atokeze mwinmgine mzuri na yeye napenda....Yani moyo wangu hauna ubaguzi, wanawake wote wazuri nawapenda :biggrin:
 
huyo anayenipenda nimemfahamu huu mwaka wa pili sasa lakini feelings bado zipo kwingine. umri umeenda nahitaji kuolewa soon..
Basi nakushahuri kuspend more time na huyo anae kupenda, jaribu kuona vitu vizuri toka kwake, huenda utampenda pia.
Just try. Huyo unae mpenda msahau kabisa, ana wake na amesha kwambia.
 
Mmmh, kuna mambo jamani.
Zingine ni fantasies tu
maisha yanasonga, kaa na huyo huyo anayekupenda.
 
Aisay wanawake mnajua kupenda, yani ukisha penda....ndo huyo huyo poleni sana.

Mimi hata nikipenda vipi, atokeze mwinmgine mzuri na yeye napenda....Yani moyo wangu hauna ubaguzi, wanawake wote wazuri nawapenda :biggrin:
Utapenda hadi lini sasa? maana wanawake wazuri wanazidi kuongezeka tu. Halafu hapa tunaongelea maswala ya ndoa... sio ya mapenzi ya 'urafiki'.
 
Utapenda hadi lini sasa? maana wanawake wazuri wanazidi kuongezeka tu. Halafu hapa tunaongelea maswala ya ndoa... sio ya mapenzi ya 'urafiki'.
Kwani huyu kisha olewa au mimi nikipofu na wewe ndo mwenye macho hahaha.

Haya hata kama wewe una macho umesoma vizuri kuliko mimi, kwani nani kakuambia mimi taishia kuwa na mke mmoja tu :biggrin:
 
Kwani huyu kisha olewa au mimi nikipofu na wewe ndo mwenye macho hahaha.
Haya hata kama wewe una macho umesoma vizuri kuliko mimi, kwani nani kakuambia mimi taishia kuwa na mke mmoja tu :biggrin:
Mi sijasema kama kaolewa. Nimesema anataka mapenzi ya kuolewa, sio ya urafiki wa kawaida. So kupenda tunao ongelea hapa ni kule kupenda kutakao pelekana kuoana.
So My point was: kama kila mwanamke mzuri utampenda, utapenda (na kuoa) wangapi? Hata kama utaoa zaidi ya mmoja, there is only a certain amount one can accomodate (IMO)
 
Mmmh, kuna mambo jamani.
Zingine ni fantasies tu
maisha yanasonga, kaa na huyo huyo anayekupenda.

mmh sasa jamani nitakaaje na mtu anayenipenda halafu mimi simpendi??? labda nisubiri tu atatokea atakayenipenda na mie nimpende
 
mmh sasa jamani nitakaaje na mtu anayenipenda halafu mimi simpendi??? labda nisubiri tu atatokea atakayenipenda na mie nimpende
Ndio nilitaka nikushahuri hivo ila ukasema muda unaenda... Kama utaweza subiri tu. Usiweke lengo kuolewa, weka lengo kupenda na kupendwa. Ndoa ni consequence tu.
 
Watu wa ajabu jamani! Mtu anasema hana feeling wakati wanapiga game mara kibaao! Hebu mzoee mwenzio na ujifunze kumpenda!
 
kama mshale ushafika 30 sahau.
Kuna shule za sekondari na vyuo vinatema vitoto vidogo vizuriii.
Vilaini kama kuku wa kizungu, mtu anakula na mifupa yake.

be realistic mama, kama anayekupenda ana tabia nzuri hutakosa kitu kizuri kwake.

mmh sasa jamani nitakaaje na mtu anayenipenda halafu mimi simpendi??? labda nisubiri tu atatokea atakayenipenda na mie nimpende
 
Mi sijasema kama kaolewa. Nimesema anataka mapenzi ya kuolewa, sio ya urafiki wa kawaida. So kupenda tunao ongelea hapa ni kule kupenda kutakao pelekana kuoana.
So My point was: kama kila mwanamke mzuri utampenda, utapenda (na kuoa) wangapi? Hata kama utaoa zaidi ya mmoja, there is only a certain amount one can accomodate (IMO)
Si ndio nikampa pole huyo mtoa madai hamjaona, mana wengine wakipenda wamependa....wanapenda pale pale. na huo ni kama ugonjwa vile wakichaa.

Kuhusu point yako yakusema kila naye mpenda tamuoa, hivi wewe unadhani kila mwanamke ni wakuolewa hata kama mzuri...wengine wanakuwa wazuri, lakni sio wakuolewa...wanakuwa wanashindikiza tu harusi.

Bora watu kama mimi tukipenda yani tunapenda tu
hatuna ule wehu wakupenda mpaa unafikia hatua ya kuwa kama mwehu...nyie hamumuoni mwenzenu, mwenzake kisha penda mwinngine yeye kabaki kupenda tu....sasa kupenda vile nilazime tutoe pole sababu ni msiba mkubwa.

Mimi sina hayo ya kupenda vile, ninaye mpenda akisema nimechoka na wewe...namletea zile kata mbuga za kisukuma unazijua ili ziwe zawadi anapo kwenda:biggrin:
 
Watu wa ajabu jamani! Mtu anasema hana feeling wakati wanapiga game mara kibaao! Hebu mzoee mwenzio na ujifunze kumpenda!

chrs una utani wa ngumi wewe. utapigaje game na mtu humpendi? labda nyie wanaume mnaweza
 
Usipende hivyo dada yangu ni ver risk, halafu kuolewa sio ishu kiviile kama udhaniavyo ,so u jas b lito patient kama ipo,ipo tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom