Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
She is probably playing mind games with you. My advice to you: just slow your roll.
Kama unampenda na yeye anakupenda itakua sawa tu. Mtafute uongee nae. Hata mimi nimepata shaka hapo uliposema "Mimi najijua fika kuwa sina mwanamke mwingine ambaye niko committed naye wa kuweza kufikia hatua ya kumsumbua"
Maana yake nini? una wengine ila haupo committed sana? kama ni hivo basi faham kwamba hao hao wanaweza kusumbua pia. Inawezekana ikawa ni rafiki zako, au hata ndugu zako ambao hawajafurahia penzi lenu. Kaa na mwenzio, hakikisha akakwambia ni kitu gani kinaendelea na try to identify who is behind all this. from there utaona itakua ni rahisi kuhepuka matatizo yenye kutokana na usumbufu huo
kuna mtu anamsumbua....ina maana nyingi sana
Kaka uko kwenye mizan ya huyo Mdada,anapesema kuna mtu anamsumbua sana na hatak kujutia maamuzi yake ni kuwa kuna mtu anamkatalia kwa ajili yako though anampenda,na kukuchunia 4 foru days,hiyo ni alert tosha kichwan mwako kuwa kuna ka mchezo nyuma ya pazia,ushauri wa NN ni wa muhimu kuzingatia,be carefull, usilie lie kila ukiongea au ukiwa nae,be confident and show her that you love her though you can continue with your life without her, na log off....
Nielewavyo mimi kama mwanamke anasema kuna mtu anamsumbua halafu anakuwa haeleweki basi nachelea kusema atakuwa mwanaume ambaye anashindwa kumpa jibu sahihi kwa hofu yako lakini element zote za kumpenda zipo. Hiyo ya kuwa bibi zako ni kitu kidogo tu, anataka kucheza na saikolijia yako ili ajue kama una mademu wengine. Hivyo mchunguze huyo demu wako kuna mtu anampima kwenye mizani akikushinda tu utasikia puuuuuuu kama kama kishindo cha mabomu ya Gongo la Mboto kutahamaki huna chako, inabaki historia. Akihangaika akiona nako kimewaka atarudi kwako na kukuomba msamaha ili mrudiane, kwa kuwa ulikuwa bado unampenda unaweza kujikuta unafanya ndivyo sivyo. Tafakari chukua hatua.kuna mtu anamsumbua....ina maana nyingi sana
Kuna moja kati ya haya mawili:
1.Anakupima ili afahamu ni kwa kiwango gani unampenda.
2.Anatafuta upenyo wa kukutema.
Take care!
Nielewavyo mimi kama mwanamke anasema kuna mtu anamsumbua halafu anakuwa haeleweki basi nachelea kusema atakuwa mwanaume ambaye anashindwa kumpa jibu sahihi kwa hofu yako lakini element zote za kumpenda zipo. Hiyo ya kuwa bibi zako ni kitu kidogo tu, anataka kucheza na saikolijia yako ili ajue kama una mademu wengine. Hivyo mchunguze huyo demu wako kuna mtu anampima kwenye mizani akikushinda tu utasikia puuuuuuu kama k
Ni uhakika upi anaoutafuta yeye wakati nyie ni wapenzi na bila ya shaka umeshamwambia utaishi nae. Kuna kitu hapo anakitafuta.Mzee wa Rula inawezekana kabisa kweli huyu mdada anatuweka kwenye mizani maana nashindwa kabisa kuelewa pale anapodai eti kuna mtu anamsumbua halafu hasemi ni nani na badala yake anataka uhakika wa penzi langu kwake. Itabidi nadhani nimkalie kooni nijue moja na achague moja, kusuka ama kunyoa
Fanya kitu kimoja Mkuu,mwambie kwa upole kabisa,"Sioni Faida ya kuwa katika mahusiano ambayo hayaoneshi futre yeyote zaid ya Quaral za kila siku, nimemua nikupe nafasi ya wewe kukaa na kufanya Maamuzi Sahihi,ukiwa Tayari utanijibu,kwa sasa nimeamua niwe apart na wewe mpaka hapo uakapoamua kueleweka", Some times its better to distant from people just to make them realize how important you are in their life, We mpe nafasi bwana ,kama ni wako atarudim if it was not meant for you then it will be much fine Kaka, acha kulia lia Boss.
Ni uhakika upi anaoutafuta yeye wakati nyie ni wapenzi na bila ya shaka umeshamwambia utaishi nae. Kuna kitu hapo anakitafuta.
huyo anataka akuteme-sema hataki yeye kuwa source ya kuachana,anataka akuache then kesi akupe wewe kuwa ndo ulisababisha,
atakuwa na mwingine huko aliko.
hio ndio tatizo ya kuwa na distance relationship