properties
Member
- Jun 3, 2016
- 59
- 57
Nina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali.
Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE MPENZI ANAJIBU SALAMA" anakaa kimya na wala haulizii hali yangu na hawezi kunitafuta mpaka mimi nimuanze kumtafuta.
Alafu meseji hujibu baada ya hata lisaa lizima au zaidi. Nakumbuka leo nilikuwa nachati nae kuanzia saa mbili akawa ananijibu kwa wakati lakini imefika saa tatu akawa anajibu baada hata ya dk 20.Sasa mimi nikamuuliza kulikoni ama una usingizi? Kanijibu ndio kwa kifupi baadae mimi nikamwambia basi usiku mwema akajibu baada ya dk 10 nawe pia.
Sasa nimekaa kama dk 5 kumpigia simu yake ikawa busy anaongea, nimepiga mpaka roho ikaniuma simu iko busy.
Wadau nifanye maamuzi gani sahihi kwa huyu dada?
Lakini nampenda sana.