mashakaDaima
Member
- May 3, 2013
- 38
- 5
Kiukweli kuna dada anatesa sana roho yangu na ninahisi kupoteza matumaini ya kuishi.
Ni mara chache sana kwa mutu kutokukata kwa kitu anachokihitaji lakini kwangu mimi nahisi kukata tamaa kabisa kwani jitihada zangu zinaelekea kugonga mwamba kwani furaha ya moyo wangu inapotea kwa huyu dada kuisumbua nafsi yangu.
Je ni ipi suluhu hasa kwa mtu unayeonesha upendo wa dhati na anakukataa kabisa
Njia pekee ya kujipa furaha ikiwa unayempenda kwa dhati hakupendi ni kutafuta kasoro yoyoyte hata kama ni ndogo na kuanza kuijengea hoja ili kuiaminisha akili yako kuwa mtu huyo hakufai, taratibu na moyo wako utapunguza upendo kwake na utaanza kujisikia huru.
Pia majina nayo yana maana ktk maisha, mfano jina lako la MASHAKA DAIMA, usishangae pia likakupa maishaka daima.
Kama hutakiwi unangoja nini hapo??
Anasubiri aonewe huruma....hahaha!!!
watu bana, sjui wanataka malaika wawashukie
Best ni hivi, si wananume wote wenye kuelewa fikra za wadada.
Mara nyingi wadada huwa hawapendi kughasiwa na aliyemstaarabu hujaribu kukwepa ili uisome namba mapema.
Dunia ina watu bilion 7, wanawake wapo bilion 3. Nashangaa kwanini mtu anamkomalia mwanamke mmoja now and then as if hakuna option nyingine? fungua macho ndugu dunia hii sio ya kubembelezana. Hata mapenzi yana ubepari pia.
Dunia ina watu bilion 7, wanawake wapo bilion 3. Nashangaa kwanini mtu anamkomalia mwanamke mmoja now and then as if hakuna option nyingine? fungua macho ndugu dunia hii sio ya kubembelezana. Hata mapenzi yana ubepari pia.